Laana ya Gamondi yaanza kumtafuna Eng. Hersi

Laana ya Gamondi yaanza kumtafuna Eng. Hersi

Tsyamatsy

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2023
Posts
265
Reaction score
421
Tayari laana za Muargentina zimeanza kuwatafuna jamaa wa Jangwani. Kuchamba Sana mwisho utaondoka na kinyesi ndio Labda imekuwa hivyo?
 
Week hii yataongelewa mengi sana mpaka kuja kushtuka, mechi ya marudiano, hapo sasa ndipo tutakapo pigwa 5
 
Timu bovuuu ..nme shangaa kuona dube na aziz wanaanza na kumaliza match
 
Mechi ya leo hawakuchoma madawa yao ya kuongeza nguvu
 
Sio laana, ni upumbavu wa Hersi na wenzie unaotugharimu. Na tutachakaa sana.
Hata Gamondi angekuwepo huenda mngefungwa tu, Timu wengi weshaijua, wanaiacha icheze huku wameziba nafasi kisha wanapiga counter. Gamondi mmemuondolea tu hii aibu ya kufungwa.
 
Hata Gamondi angekuwepo huenda mngefungwa tu, Timu wengi weshaijua, wanaiacha icheze huku wameziba nafasi kisha wanapiga counter. Gamondi mmemuondolea tu hii aibu ya kufungwa.
Hii haikuwa mechi ya Gamondi kukosa matokeo, yule rookie ndio katuuza.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Lomalisa hakupaswa kuondoka, Gamond hakupaswa kuondoka, nimeambiwa hata wachezaji wamekasirika Gamond kuondoka Sasa watakuwa na Ari kweli.

Ni Bora hersi arudi kwao Somalia atuachie yanga yetu, na likocha la mchongo waliloleta
 
Tayari laana za Muargentina zimeanza kuwatafuna jamaa wa Jangwani. Kuchamba Sana mwisho utaondoka na kinyesi ndio Labda imekuwa hivyo?
Hamna cha laana ya gamondi, ni maamuzi mabovu ya yanga
 
Back
Top Bottom