Laana ya Juma Mgunda imemtafuna Ally Kamwe

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kuna tetesi kwamba Kamwe amepigwa ban ya miaka miwili. Nakubaliana na ban na yeyote anayeketa ujinga ujinga unaofanana na huyo apigwe na kitu kizito.

Niwakumbushe tu huyu bwana mdogo aliwahi kumdhalilisha Juma Mgunda. Akasema kati ya Mgunda na Andazi, yeye anachagua andazi.

Viongozi wa timu zote, Simba, Yanga na wengine wanatakiwa kuwakemea wasemaji wao wanapovuka mipaka
 
Kwahiyo kafungiwa sababu ya andazi...kwikwikwiki mnavisa
 
Kamdomo kamemponza , alishaonywa kuwa akumbuke kuna maisha baada ya Yanga yeye kajiona ndiyo Yanga na Yanga ndiyo yeye, walipita wengi hapo.
 
Wasemaji wa simba na yanga wanahangaika na mambo mengi kuliko wanavyohangaika na timu zao.
 
Niliwahi kusema maafsa habari wa bongo ni wahuni!
 
Dah ila kweli unamtukana matusi ya nguoni mtu mzima namna hio kisa timu yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…