Laana ya Miquissone inavomtesa John Bocco

Boko alipoulizwa nani kwa maoni yako anastahili kuwa mchezaji bora, akajibu yeyote yule anastahili. Bocco ilibidi aseme Chama au Muquissone na TFF ilivyo mbovu wakampa shabiki kuwa MVP
 
Bocco hana talent ila anatumia nguvu. Kwa sasa umri umeenda nguvu zimeenda kwaooo
 
Siku si nyingi Bocco atawanyamazisha,!
Afanye hivyo ila inaweza kuwa too late,maana ligi ni point,kuna mechi isingekuwa kiwango kibovu tusingekuwa na droo, Biashara alikosa penati, Yanga alikuwa anaruka ruka tu.
 
Kati ya wachezaji nisiowakubali Tanzania Bocco ni mmojawapo,huwa sielewi kwanini wanampanga. Kajaliwa mwili wa mpira lkn hautumii,angekuwa mwingine angefika mbali sana.

Kwanza tangu apigwe kidole na nyoso enzi zile afu hakurusha hata ngumi alitulia tu,nilimdharau sana.

Imagine Miquison angekuwa na body structure kama ya Boko, angecheza ulaya. Ni kwasababu tu wazungu wana allergy na maandunje.
 
Siku si nyingi Boko atawanyamazisha,!
Afanye hivyo ila inaweza kuwa too late,maana ligi ni point,kuna mechi isingekuwa kiwango kibovu tusingekuwa na droo, Biashara alikosa penati, Yanga alikuwa anaruka ruka tu.
Msimu was mwaka juzi alianza kufunga Round ya pili akafunga 13+
Kwenye maisha lazima kuwe naa ups and[ downs aisee una alergy na mfungaji BORA wa muda wote waLigi Kuu ya Tanzania!
Kweli Duniani Kuna haters.
 
kwani ni principle mkuu? si kila mtu alivyojaaliwa? Kagere, Bocco, Nyoni umri umeenda,akili inataka mwili unagoma.
Ahaa sawa nimeelewa.

Nilimuona Yusuph Macho mbagala Zakheem akipunguza mabeki na kupiga mashuti makali sana akiwa kastaafu soka la kulipwa,nikajiuliza mbona huyu bado wapo.
Kumbe inagemeana ntu na ntu.
 
Siwapendi Makolo ila nilimpenda na nitazidi kumpenda sana Luiz,Ile tuzo niliumia sana jamaa kuikosa
 
Ahaa sawa nimeelewa.

Nilimuona Yusuph Macho mbagala Zakheem akipunguza mabeki na kupiga mashuti makali sana akiwa kastaafu soka la kulipwa,nikajiuliza mbona huyu bado wapo.
Kumbe inagemeana ntu na ntu.
🤣🤣 inategema uimara wa mtu mkuu. ndo maana hata Musso anacheza ndondo hayupo Simba Sc kwenye mbilinge. kutokana na umri hata Musso asingeweza kufanya vizuri kwenye ligi.

Mimi nawaheshimu sana Bocco,Kagere na Nyoni na nathamini mchango wao Simba kwa kutupa mafanikio makubwa kipindi wamekuja. Ila Simba sio club ya hisani,ni biashara. Kama ni hisani watafutiwe kazi nyingine kwenye club.
 
Umri kivipi,mbona wakina Pirlo wamestaafu wakiwa na umri mkubwa na mpira ukiwa upo bado,nauliza tu nipate kujua?
Kulikuwa na akina Pirlo wangapi mkuu?

Mpira wa miguu umri ni moja ya vitu vikuu kwa mchezaji ndio maana wenye umri mkubwa na walioweza kufanya vizuri wanahesabika katika ulimwengu wa soka.

Umewahi kujiuliza kwanini wachezaji usajiliwa range ya 20 - 26, na average ya mchezaji kuwa kwenye peak ni 26. Sasa bongo nyoso huku wachezaji na umri wamedanganya kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…