Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Nchi gani inafuata sera za kisoshalisti,kikomunisti au kijamaa ?Kama nchi ikiongozwa kwa falsafa za Kishoshalisti, kikomunist na kijamaa laana zifuatazo huwa ni sehemu ya maisha ya jamii husika.
Viongozi hulazimisha kuabudiwa.
Vyombo vya dola hugeuka kuwa kandamizi Kwa wananchi.
Viongozi hugeuza mfumo kuwa wa kifalme.
Wananchi wa kawaida hufukarishwa wakati viongozi hujilimbikizia mali watakavyo.
Jamii nzima hugeuzwa mandondocha wa viongozi.
Usilete mfano wa china hapa maana china inafuata sera za ubepari baridi.
Utu ni Umaskini na Umaskini ni fedheha na laanaUjamaa ni utu, ubepari ni unyama. Mnyama mwenye nguvu amle mnyama mnyonge.
Kwenye ubepari ukizaliwa masikini utaendelea kuwa masikini mpaka wajukuu zako wataurithi maana mfumo wao ni mwenye nacho ataongezewa na masikini ataendelea kuwa masikini ili amtumikie beberu au mfumo. Hivyo sio rahisi masikini kupindua meza kwenye mifumo ya kibepari.Utu ni Umaskini na Umasikini ni fedheha na laana
Achana na mambo ya nchi ila kwenye maisha yako binafsi ukitumia mfumo wa kijamaa utachakaa bwasheeKwenye ubepari ukizaliwa masikini utaendelea kuwa masikini mpaka wajukuu zako wataurithi maana mfumo wao ni mwenye nacho ataongezewa na masikini ataendelea kuwa masikini ili amtumikie beberu au mfumo. Hivyo sio rahisi masikini kupindua meza kwenye mifumo ya kibepari.
Kingine sio viongozi wala wananchi akili hakuna maamuzi yanayofanywa na viongozi, unaweza kushika kichwa ila hakuna reaction yeyote kutoka kwa wananchi wapo tu kama hawapo bora liende..Kama nchi ikiongozwa kwa falsafa za Kishoshalisti, kikomunist na kijamaa laana zifuatazo huwa ni sehemu ya maisha ya jamii husika.
Viongozi hulazimisha kuabudiwa.
Vyombo vya dola hugeuka kuwa kandamizi Kwa wananchi.
Viongozi hugeuza mfumo kuwa wa kifalme.
Wananchi wa kawaida hufukarishwa wakati viongozi hujilimbikizia mali watakavyo.
Jamii nzima hugeuzwa mandondocha wa viongozi.
Usilete mfano wa china hapa maana china inafuata sera za ubepari baridi.
Kwenye maisha binafsi nafikiria na kufanya maamuzi ya kibepari halafu naishi kijamaa chenye ubepari kwa mbali.Achana na mambo ya nchi ila kwenye maisha yako binafsi ukitumia mfumo wa kijamaa utachakaa bwashee
this is nonsense and completely useless article of the dayKama nchi ikiongozwa kwa falsafa za Kishoshalisti, kikomunist na kijamaa laana zifuatazo huwa ni sehemu ya maisha ya jamii husika.
Viongozi hulazimisha kuabudiwa.
Vyombo vya dola hugeuka kuwa kandamizi Kwa wananchi.
Viongozi hugeuza mfumo kuwa wa kifalme.
Wananchi wa kawaida hufukarishwa wakati viongozi hujilimbikizia mali watakavyo.
Jamii nzima hugeuzwa mandondocha wa viongozi.
Usilete mfano wa china hapa maana china inafuata sera za ubepari baridi.
Chenye nguvu kinatakiwa kibaki na kupambana , kinyonge kinashindwa kupambana hufa na hutoweka kabisa.Kwenye maisha binafsi nafikiria na kufanya maamuzi ya kibepari halafu naishi kijamaa chenye ubepari kwa mbali.
Rudi darasani upate kuelimika.Vyombo vya dola hugeuka kuwa kandamizi Kwa wananchi.
Ubepari ni mfumo wa shetani. Biblical proof is there.Kwenye ubepari ukizaliwa masikini utaendelea kuwa masikini mpaka wajukuu zako wataurithi maana mfumo wao ni mwenye nacho ataongezewa na masikini ataendelea kuwa masikini ili amtumikie beberu au mfumo. Hivyo sio rahisi masikini kupindua meza kwenye mifumo ya kibepari.
Tanzania ya ccm wanasema wao ni wajamaaNchi gani inafuata sera za kisoshalisti,kikomunisti au kijamaa ?
Sera za ubepari baridi ndio zipi hizo ?
Hakuna chochote kinachoonesha ujamaaTanzania ya ccm wanasema wao ni wajamaa
Elaborate it please..🤣🤣Ubepari ni mfumo wa shetani. Biblical proof is there.
Waliupiga teke ujamaa toka awamu ya Mwinyi kwa walichokiita azimio la zanzibar.Tanzania ya ccm wanasema wao ni wajamaa
Kwa kuwa maandiko Yao rasmi (Katiba, Ilani, sera, falsafa,Itikadi) bado zinaonesha kuwa wao ni wajamaa, sisi tutaendelea kuwaita wao kuwa ni wajamaa.Waliupiga teke ujamaa toka awamu ya Mwinyi kwa walichokiita azimio la zanzibar.