Azam FC hajawahi kuanza msimu pasi na kuwa na mchezaji wa Yanga SC kwenye official squad yao.Bila ya kua na hao wachezaji wa Yanga,ni mwaka gani Azam walifika mbali Kimataifa na walifika hatua gani ?
Yanga acheni wachezaji waende kwa amani bado mnawaandama tu ?
Azam wanafeli wenyewe yule kocha wao hana mbinu yoyote
Ulikusudia kumaanisha nn mkuu😀😀Kambi za nje ya nchi zinaanza kuzaa matunda.
Mbona hao wa Yanga ndio wamefunga hizo penati bangala ,na feisal wamepata.acha wivu roho ya mkaanga sumuHistoria huwa haidanganyi hata siku moja. Unaweza ukawa unajiuliza tatiza la Azam FC ni lipi. Mpaka sasa na usiwe na jawabu la swali hilo.
Historia inatuambia kuwa kila nyakati au msimu ambao Azam FC wanamchezaji mmoja au zaidi walio wahi kucheza Yanga SC basi msimu huo huwa hawafiki mbali kimataifa.
Hakuna msimu ambao Azam FC aliwahi kuwa na mchezaji wa Yanga SC kwenye kikosi chao wakafanya vizuri kimataifa.
Na sio kimataifa tu, bali.hata kwenye LigiKUU Tanzania Bara.
Azam FC watafanikiwa endapo wataachana na wachezaji walio wahi kupitia Yanga SC.
Vinginevyo wawe tayari kuzoea hii laana ambayo itaendelea kuwatafuna mpaka kiama chao.
Asanteni Azam FC kwa kushiriki, sasa rudini kambini mkapande mikakati ya kutetea nafasi ya 2 kwa sababu Simba SC, Singada FG nao wanaitamani.
Alamsiki.
Inahitaji akili kubwa kung'amua point kusudiwa hapi juu kwenye uzi.Mbona hao wa Yanga ndio wamefunga hizo penati bangala ,na feisal wamepata.acha wivu roho ya mkaanga sumu
Its actual beyond your thinking vacuum.Huyo kocha ni kiazi kabisa.... Anamtoa Akamiko anamuacha Fei uwanjani?, Unamtoa Nado ambaye alikuwa anawapa taabu mabeki?. Hapa sio swala la wachezaji wa yanga Wala nini, huyu kocha hovyoo kabisa. Feisal hapaswi kuanza kwenye kikosi Cha Azam Hana fitness ni kuzurula uwanjani tu.
Ndani ya kipindi cha miaka mitano Yanga SC amekusanya point msimu ulioisha kwenye michuano CAF,Yeah ni kweli aisee Azam FC na Yanga SC wote wako sawa.
Wanazidiwa kabisa na Namungo FC, kwa sababu Namungi FC aliwahi kucheza Fainali ya CAFCC ila Azam FC na Yanga SC hawajawahi kufika hatua hiyo kimataifa.
Sina lengo la kubishana bali kuweka kumbukumbu sawa.Azam FC hajawahi kuanza msimu pasi na kuwa na mchezaji wa Yanga SC kwenye official squad yao.
Bisha kwa kuleta uthibitisho.
Post ya kipumbavu ya mwakaHistoria huwa haidanganyi hata siku moja. Unaweza ukawa unajiuliza tatiza la Azam FC ni lipi. Mpaka sasa na usiwe na jawabu la swali hilo.
Historia inatuambia kuwa kila nyakati au msimu ambao Azam FC wanamchezaji mmoja au zaidi walio wahi kucheza Yanga SC basi msimu huo huwa hawafiki mbali kimataifa.
Hakuna msimu ambao Azam FC aliwahi kuwa na mchezaji wa Yanga SC kwenye kikosi chao wakafanya vizuri kimataifa.
Na sio kimataifa tu, bali.hata kwenye LigiKUU Tanzania Bara.
Azam FC watafanikiwa endapo wataachana na wachezaji walio wahi kupitia Yanga SC.
Vinginevyo wawe tayari kuzoea hii laana ambayo itaendelea kuwatafuna mpaka kiama chao.
Asanteni Azam FC kwa kushiriki, sasa rudini kambini mkapande mikakati ya kutetea nafasi ya 2 kwa sababu Simba SC, Singada FG nao wanaitamani.
Alamsiki.
We acha kabisa kuifananisha timu iliyocheza final CAFCC kwa mara ya kwanza na viru vya hovyo mkuuHizo ni porojo na kelele ,Azam FC haijawahi kuwa na rekodi nzuri kimataifa na haitofautiani na YangaSC , bora hata Namungo waongee.