Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Aliyelaaniwa ni yule aliyekiuka kiapo cha kanisa na baadaye kuamua kushirikiana na wauwajiNi kama chadema walivyopata laana ya Dr Slaa
Ni kama chadema walivyopata laana ya Dr Slaa
Aliyelaaniwa ni yule aliyekiuka kiapo cha kanisa na baadaye kuamua kushirikiana na wauwaji
Huyu mchezaji alipokuwa Arsenal alijishebedua sana akikataa kusaini mkataba mpya ili aongezewe mpunga , Mzee Wenger hatimaye akasalimu amri na kuamua kumsalimisha kwa Bwana matamaa aitwaye Morinho , ambaye kwa vile hakuwa na uchungu na hela za watu akaamua kumlipa Sanchez mihela ya kufa mtu .
Kwa bahati mbaya kinyongo na laana ya Wenger vikamfuata Alexis kila alipogusa mpira , akaanza kustukiwa na kupigwa benchi , na baada ya Morinho kuondoka hali imekuwa mbaya zaidi , na sasa anatafuta namba kwenye Ndondo cup .
Wenger ana nini lakini , mbona kila mchezaji anayeondoka kwa nyodo anaishia kubaya ?
Dah we jamaa [emoji28][emoji28]Ni kama chadema walivyopata laana ya Dr Slaa
labda Gadiel , lakini Beno alidhulumiwa na YangaNdivyo itakavyokuwa kwa Beno Kakolanya na Gadiel Michael...hawatacheza au kung'aa huko Simba..., mark mmy words...hakuna mchezaji wa Yanga aliyeleta nyodo na kuamua kwenda akafanikiwa huko...watacheza mwezi mmoja au miwili, na ndio utakuwa mwisho wao...
Wivu tu Kwasu Kwasu mnataka kuwakopa wachezaji kila siku signing fees za mikataba iliyopita hadi leo hamjamaliza ,wote wameondoka wainaidai Kwasu ,na Yondani angekuwa umri wa miaka 26 lazima tungemchukua mchezaji mzuri hawezi kufa ,njaa kwasababu yenu.vilaana visivyo na sababu haviwezi kumpata mtu majembe yatakamua kiroho safiNdivyo itakavyokuwa kwa Beno Kakolanya na Gadiel Michael...hawatacheza au kung'aa huko Simba..., mark mmy words...hakuna mchezaji wa Yanga aliyeleta nyodo na kuamua kwenda akafanikiwa huko...watacheza mwezi mmoja au miwili, na ndio utakuwa mwisho wao...
labda Gadiel , lakini Beno alidhulumiwa na Yanga
Wivu tu Kwasu Kwasu mnataka kuwakopa wachezaji kila siku signing fees za mikataba iliyopita hadi leo hamjamaliza ,wote wameondoka wainaidai Kwasu ,na Yondani angekuwa umri wa miaka 26 lazima tungemchukua mchezaji mzuri hawezi kufa ,njaa kwasababu yenu.vilaana visivyo na sababu haviwezi kumpata mtu majembe yatakamua kiroho safi
Boss Iyo ni kazi lakini wanaangalia maslaiHakuna cha wivu hapo...utakuja kuniambia comrade...utaniambia...Mwache huyo Gadiel aende Simba hatacheza hapo...Beno naye hatacheza...Atakayecheza kidogo ni Ajibu kwani hajawahi kuisaliti Yanga kivile na yeye mwenyewe ni Simba...Beno pia ni Simba na kabla hajaja Yanga ilikuwa asajiliwe Simba lakini wapo baadhi ndani ya Simmba ambao hawakumtaka kipindi kile...ila kosa la Beno ni kutumika ili kuihujumu Yanga...Gadiel yeye hajitambui, pamoja na kuomba radhi lakini bado laana itamfuata tu tena kwa saana..ubishoo wake utamtokea puani...Malipo (ya usaliti) ni hapa hapa duniani.
Ukweli mchungu. Japo mi Yanga ila napata wakati mgumu kumlaumu Kakolanya.Boss Iyo ni kazi lakini wanaangalia maslai
Ni kama chadema walivyopata laana ya Dr Slaa
Boss Iyo ni kazi lakini wanaangalia maslai
Yondani alitoka Simba kwa sababu hizi hizi, nakukumbusha tu.Wivu tu Kwasu Kwasu mnataka kuwakopa wachezaji kila siku signing fees za mikataba iliyopita hadi leo hamjamaliza ,wote wameondoka wainaidai Kwasu ,na Yondani angekuwa umri wa miaka 26 lazima tungemchukua mchezaji mzuri hawezi kufa ,njaa kwasababu yenu.vilaana visivyo na sababu haviwezi kumpata mtu majembe yatakamua kiroho safi
Sikatai wachezaji wanapaswa kuangalia maslahi ata Mimi kama naidai club signing fee ya msimu uliopita na wakati huu wananipa nusu ,kiufupi ni kurundika deni lisilolipika wakati wanafanya hivyo wanasajiri wachezaji wengine kwa Pesa ndefu Mimi wa zamani nakopwa ,sio fairYondani alitoka Simba kwa sababu hizi hizi, nakukumbusha tu.
Wenger ni Mzee wa kupuliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!