Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msaada waungwana lab coat znapatkana wap??
nataka jipya johnjoo nikuuzie yangu
msaada waungwana lab coat znapatkana wap??
Unatakiwa utaje mahali ulipo au chuo umechopangiwa ili kama kuna anayefahamu ukufahamishe. Mfano wewe uko Katavi, alafu jamaa wa Arusha anakwambia mkutane akuuzie, mtakutania wapi.
Taja mahali ulipo au chuo umechopangiwa, ili tujue tutakusaidiaje!
DIT nduguhuyu bila shaka ni mwanafunzi wa DMI