Udhibiti wa chakula na dawa hapa ndo mahali pake,usalama wa walaji upo mikononi mwao na viwanda vingi vidogo vimefungiwa kwa sababu ndogondogo za kiusalama kwa mlaji
kama viwanda vya alizeti shinyanga na kwingineko viwanda vingi inchini vimelazimisha kuweka Maelezo kwa mlaji katika bidhaa nyingi mfano ONYO kwa sigara kunywa kistaarabu kwenye bia na vingine lakini kwa maajabu ya halo ya juu sioni chochote kwenye soda Pepsi,cocacola na soda zote hapo madaktari wakieleza madhara ya soda hasa ya sukari na kutokuwa in gradients zozote kwa mlaji hivi ni kweli TFDA hawaeliwi au ndo ukubwa tena!!!!!!!