Labda Mungu tu ndo atawaokoa Atletico Madrid Alianza Arena

Hii sexy footbl mnayoitaka mm nishushen
Ntajipiga selfie[emoji23][emoji23][emoji23]

Chama la wana Lec
Chama la wana ATM

SIMEON
MOU
RANIEL

Falsafa zao nazielewa san
 
TANGU LINI UEFA IKAWA NA MSHINDI WA TATU daaaah kumbe kelele nyingi ila mpira umeanza shabikia 2015 mwishoni
Nimeanza shabikia mpira kitambo sana, toka enzi za kina Ian Wringt, in short, nimemuona Guardiola na Simeone wakisukuma gozi uwanjani.
Na pia mpira wa ndondo nacheza mpaka sasa kama burudani, hivyo mpira naujua vizuri.
Hapo ktk comment yangu nilitegemea ungeona SARCASM niliyokusudia.
 
kwa msaaada wa Google unaweza sema hata ulikuwepo kipindi cha Maradona[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Google raha saaana
 
kwa msaaada wa Google unaweza sema hata ulikuwepo kipindi cha Maradona[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Google raha saaana
Nwakati simba inacheza na Stella Abidjan fainali, nilikuwa nimeanza ushabiki wa mpira wa bongo tayari.
Unamjua Kanka Wemba wewe wa Atletico Sports Aviacao??
 
Nwakati simba inacheza na Stella Abidjan fainali, nilikuwa nimeanza ushabiki wa mpira wa bongo tayari.
Unamjua Kanka Wemba wewe wa Atletico Sports Aviacao??
[emoji13] [emoji13] mimi nipo Mnyama ila nina alej na Mpira wa kibongo
 
Simione kaulizwa baada ya match angependa kukutana na nani fainal!...amejibu hivi "kila mtu anapenda kukutana na anayemuonea kila siku"
 
NANI ALIBANDUKA mwekundu????

I told you early!
Teh teh,nna kimbelembele cha kumsaidia kukujibu,KABANDUKA MJERUMANI.
It reminds me of a certain song we used to sing back in the time,..

Kibangaaa ampiga mkoloniiii..
Kibangaaa ampiga mkoloniii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…