Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Wengine mashuleni na viuoni, wengine mtaani. Wengine wame google, wengine majumbani mwao, yani utamaduni wao tu. Sa we chagua moja kati ya hizo uende shule.
Yaani ukinambia shule hata sijui maana wazee wetu hawkwenda shule! Na huko shuleni na vyuoni kuna darasa kabsaa la art ya mapenzi? Kule kwetu hakuna sipiyu wala nini. Majumbani sikuwahi hata siku moja kumona baba na mama wakitokea nchumba kimoja! Lakini watu wanafanya mapenzi! Wamejifunzia wapi?
Hello JF members
Hope you all have a lovely weekend.
Weekend hii nimekaa mahali nikawa nawaangalia baadhi ya watu na pia vituko vyao.
Niliona aina mbalimbali na watu wa rika tofauti. Kwa kweli tuseme walikuwa kwenye hali tunaweza kuiita ya kimapenzi! Nilijiuliza sana mwisho nikajiuliza hivi hawa wote waliwahi kupitia chuo chochote cha hii sanaa ya mapenzi? Ni nani na wapi watu hujifunzia hii sanaaa!
Naomba kujuzwa tu!
Nipo mbona tangu karne ya 12
labda ndo ile chemistry zimekutana lol
mmhh kuna wengine wanapendana mblele za watu
nyumbani ni ngumi mtindo mmoja,
Yaani ukinambia shule hata sijui maana wazee wetu hawkwenda shule! Na huko shuleni na vyuoni kuna darasa kabsaa la art ya mapenzi? Kule kwetu hakuna sipiyu wala nini. Majumbani sikuwahi hata siku moja kumona baba na mama wakitokea nchumba kimoja! Lakini watu wanafanya mapenzi! Wamejifunzia wapi?
Kwa hiyo hawa wapenzi wanaigiza mbele za watu! wakirudi home wana-matumlana sio?
Hello JF members
Hope you all have a lovely weekend.
Weekend hii nimekaa mahali nikawa nawaangalia baadhi ya watu na pia vituko vyao.
Niliona aina mbalimbali na watu wa rika tofauti. Kwa kweli tuseme walikuwa kwenye hali tunaweza kuiita ya kimapenzi! Nilijiuliza sana mwisho nikajiuliza hivi hawa wote waliwahi kupitia chuo chochote cha hii sanaa ya mapenzi? Ni nani na wapi watu hujifunzia hii sanaaa!
Naomba kujuzwa tu!
acha uongo mangi... hata kama hukuwahi kuwaona au may be hata kama ulikuwa unalala servant kota au migombani mbali na nyumba kubwa baada ya kuwa umebalehe au kuvunja ungo lakini chumba cha wazazi wako lazima unakifahamu tu kwa,kwa hilo tusidanganyane.
Sawa mwalimu weka vyovyote! Nitaja tuition soon.Present Tense or Past Perfect Tense?
mmmhhhh
BE na we bwana..
Vipi my dearest...
Wiki "end" yako wewe ilikuwaje?
w/end ilikuwa hivyo hivyo tu
kazini kwa kwenda mbele lol
Nway we mzima kabisa lakini ??
maana siku hizi umekuwa adimu sana
yaani nini kulikoni..??
Nipo chuoni nachukua shahada ya uzamivu ya Mapenzi - MA(Love)..