Laboratory science and Technology

Laboratory science and Technology

SUA, KCMC na Mhimbili universities. Lakini ukumbuke udahili tayari na watu wanabukua kwa kwenda mbele, UPOOOOOO!! Hiyo ni kwa mwakani.
 
kcmc tumaini university wanatoa!mimi naulizia level ya certificate-veta chuo gani?
 
Livestock training agency Temeke(LITA-TMK), Wanasaili form four leavers halafu wanasoma miaka 3 wanapata diploma in veterinary laboratory technology(DVLT) Wakimaliza wanaajiriwa na serikali VIC/CVL.
 
Chuo kizuri ni DIT na muhimbili tu kwa iyo kozi ila vingine ni ubabaishaji tu......
 
Back
Top Bottom