H Hellen Chris Member Joined Nov 18, 2012 Posts 22 Reaction score 7 Nov 21, 2012 #1 hey wadau hivi chuo gan hapa tz knatoa bachelor in laboratory science & Technology
malema 1989 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 1,319 Reaction score 520 Nov 21, 2012 #2 SUA, KCMC na Mhimbili universities. Lakini ukumbuke udahili tayari na watu wanabukua kwa kwenda mbele, UPOOOOOO!! Hiyo ni kwa mwakani.
SUA, KCMC na Mhimbili universities. Lakini ukumbuke udahili tayari na watu wanabukua kwa kwenda mbele, UPOOOOOO!! Hiyo ni kwa mwakani.
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,508 Reaction score 11,897 Nov 21, 2012 #3 kcmc tumaini university wanatoa!mimi naulizia level ya certificate-veta chuo gani?
C Complex number JF-Expert Member Joined Apr 28, 2012 Posts 217 Reaction score 56 Nov 21, 2012 #4 Livestock training agency Temeke(LITA-TMK), Wanasaili form four leavers halafu wanasoma miaka 3 wanapata diploma in veterinary laboratory technology(DVLT) Wakimaliza wanaajiriwa na serikali VIC/CVL.
Livestock training agency Temeke(LITA-TMK), Wanasaili form four leavers halafu wanasoma miaka 3 wanapata diploma in veterinary laboratory technology(DVLT) Wakimaliza wanaajiriwa na serikali VIC/CVL.
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,028 Nov 21, 2012 #5 Subiri DIT wanaanza kutoa mwaka aw 2013/2014
M Manmud Member Joined Oct 27, 2012 Posts 67 Reaction score 8 Nov 21, 2012 #6 Chuo kizuri ni DIT na muhimbili tu kwa iyo kozi ila vingine ni ubabaishaji tu......
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Nov 22, 2012 #7 manmud said: chuo kizuri ni dit na muhimbili tu kwa iyo kozi ila vingine ni ubabaishaji tu...... Click to expand... huo ndiyo ukweli dit ndiyo kisima cha teknolojia tanzania
manmud said: chuo kizuri ni dit na muhimbili tu kwa iyo kozi ila vingine ni ubabaishaji tu...... Click to expand... huo ndiyo ukweli dit ndiyo kisima cha teknolojia tanzania