Laboratory technology to medicine/pharmacy

Nyigana

Senior Member
Joined
May 5, 2012
Posts
105
Reaction score
12
Naomba kuuliza wakuu kuna uwezekano wa mtu aliyesoma laboratory technology ya dit/mist kupata nafas ya kusoma pharmacy muhimbili au bugando?
 
HAPANA!!Labda usome medical lab Tech ya afya then ndio usome MD na siyo PHARMACY!
 
hv mfano nina CHEM~D,BIOS~D,LANGUAGE~B,PHY~F,MATHS~F. ninaweza kusoma corse gani ya afya kwa ngazi ya certificate!!.?
 
hv mfano nina CHEM~D,BIOS~D,LANGUAGE~B,PHY~F,MATHS~F. ninaweza kusoma corse gani ya afya kwa ngazi ya certificate!!.?

.
Chem = D
Bios = D
.
Angalau itatia moyo lakini kuna baadhi ya ma nurse naona wanatafuta angalau D ya physics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…