Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Nimekuwa nikifuatilia sana mikakati ya Mheshimiwa Mbowe katika kuhakikisha Chama Cha CHADEMA kinashika dola lakini nimegundua kuwa tatizo la Mbowe hajengi Taasisi anajenga Mali yake binafsi maana ukianzia anvyoongea yaani anakuwa mkali kana kwamba anaendesha kampuni yake binafsi.
Mbowe anatakiwa ajue kuongoza Chama unatakiwa utende zaidi kuliko kuongea action shouts more louder than words.
Anaposema ana wanachama kazaaa si lazima kuwa na idadi hiyo ya wanachama wokapige kura unaweza ukawa na wanachama million kumi Leo kesho wakatoweka wote then kuwa na wanachama wengi haijustify ushindi
Ushindi unakuwa justified na Sera zenye mvuto zenye ktutetewa na MTU makini bila uongo na ubabaishaji
Kuongoza nchi si majaribio ni kitu potential huwezi kusema unataka kushika dola bila kuwa na kundi LA watu walio serious kwa vitendo na mwonekano