Labour rules and regulations

tony montana

Senior Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
142
Reaction score
38
Wakuu msaada kwa mwenye soft copies za labour rules aziweke hapa, nimekwama na shida nazo.

Natanguliza shukrani zangu
 
Wakuu msaada kwa mwenye soft copies za labour rules aziweke hapa, nimekwama na shida nazo.

Natanguliza shukrani zangu
Kuwa specific. Unataka principal legislation au subsdiary? Hala hizo rules and regulations ni zipi?
 
Inaelekea hazipatikani kwenye softcopy hasa GN No. 42 of 2007
 
Mkuu Soft copy ya kiingereza haipatikani.
Naambatisha hii ya Kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…