Ladha gani hawa wauza chips wanaweka?

Ladha gani hawa wauza chips wanaweka?

Mi nikipika zangu zinakuwa tamu kuliko za vibandani,vibandan hawakaush viazi wakati wanakaanga
 
Hpo ni sawa na kusema bia ya home sio tamu kama ya pub.
Au mpira wa home huwa haunogi kama wa kutazamia bar
 
Back
Top Bottom