Kama wamelogwa....Wanaume wa daslam mnashida sana aiseeee...☹️
Anavaa kwanza kijora msomaliEbu tuambie kwanza ww Huwa unazipikeje ?
Pole sana Classmate!Wanaume wa daslam mnashida sana aiseeee...☹️
Acha kununua chips yai huko vichochoroniMi nikipika zangu zinakuwa tamu kuliko za vibandani,vibandan hawakaush viazi wakati wanakaanga
🤣🤣🤣🤣🤣😇Wanaume wa daslam mnashida sana aiseeee...☹️