Ladha ya ban ikoje?

yani kipindi chote hichi umekaa humu ndan hujawa hi pigwa ban unatia aibu sana mkuu ptuuu!! hii ni aibu mbaya sana embu mtukane japo kidogo member yeyote humu ndani uoendoe hio nuksi na mkosi
 
Nipo humu mwaka wa sita,hii ID ya pili lakini sijawahi pigwa ban aisee,mpaka nashangaa wenzangu wanafanyaga nini mpaka wanakula ban mara kwa mara.
Vp na ww ni mwenzangu unayetamani kuonja ladha yake?
 
Ni wewe nini umerudi kwa ID nyingine...


Cc: mahondaw

ila Kuna watu kwa kula ban tu hawajambo... I do remember the last ban was mwaka sijui kwenye uzi wa nani kulikua na sokomoko la kutosha members kibao walikula ban mi na smart wangu pia hahaha.. ila mi nliwahi kuachiwa wewe ukacheleweshwa kidogo hihihihihihihi
 
Hahahaha jaman nipigwe tena
Hahahaha mkuu pamoja na mm tunatamani kuijua ladha ya ban ss mkuu kasema kutukana hawezi ndo nikamwambia akutwange ngumi ila inabidi ajiandae kwa ban mbili sasa kwa Mods na kwa mzee wa Tunguri.
 
Kuna. BAN za aina nyingi mkuu. Kuna BAN moja sio salama sana unapigwa BAN thread yako inakua inaonekana na moderators tu..
Duuuh aisee hii nahisi ndo bab kubwa basi km vp unakuwa unafululiza thread za kuomba tu msamaha.
 
yani kipindi chote hichi umekaa humu ndan hujawa hi pigwa ban unatia aibu sana mkuu ptuuu!! hii ni aibu mbaya sana embu mtukane japo kidogo member yeyote humu ndani uoendoe hio nuksi na mkosi
Ahaaaàhaa akipigwa BAN atakukumbukaa sana kwa maneno yako... Na akirudi ataandaa thread kuhusu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…