Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Mara nyungi โ โ โ, mara nyingi โ โ โ .mala nyingiโโโ ma๐ซ๐ nyungiโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธ
AhsanteHongera
Ndiyo maana mleta Uzi ameuliza,wewe kama wewe ladha ya maisha unaipata kwenye nini?Ladha ya maisha haina tafsiri moja kwa kila mtu. Kile kinachompa mtu mmoja furaha kinaweza kisiwe na maana kwa mwingine. Afya, pesa, mapenzi, familia au marafiki ni vipande vya maisha, lakini si lazima kila kimoja kiwe chanzo cha ladha kwa kila mtu.
KumbeeTrue upobNjombe, iringa, Mbeya Songwe huko
Sawa enjoyMbususu ya shinda tamu zote
๐ฅBiere...
Shukrani mkuuLadha maana yake ni ama iwe mbaya au nzuri zote ni Ladha aka โradhaโ
Labda ungeuliza ladha nzuri ya maisha ni ipi?
Ladha nzuri ya maisha inategemea na mambo mengi sana ikiwemo malezi na makuzi yako, mtazamo wa jamii na personal preferences
Kuna watu raha zao ni kujiumiza miili, kushinda njaa, kula vitu vyenye radha mbaya kabisa nk nk
Lakini ladha nzuri kabisa ya maisha ni kuwa free financially stable with good health.
Huduma inapatikana kwa online pia.Sawa enjoy
Wee unajifunza upigaji et ๐คฃ๐คฃHuduma inapatikana kwa online pia.
Vipi unasemaje?
Ndo maana huduma imerahishwa kwa online. Maana unaepuka muda wa safari unaanza kula bata mapema. Kabla ya miezi 12 kutumia. Kama unamagonjwa makubwa kuku hali mbegu hata moja anapiga chafya kwa dharau anarudi bandani.Wee unajifunza upigaji et ๐คฃ๐คฃ
Utajiri nataka ila sio wa kuku je kuku akidonoa punje 1
๐คฃ๐คฃ hakuna hiyoNdo maana huduma imerahishwa kwa online. Maana unaepuka muda wa safari unaanza kula bata mapema. Kabla ya miezi 12 kutumia. Kama unamagonjwa makubwa kuku hali mbegu hata moja anapiga chafya kwa dharau anarudi bandani.
Hadi Snickers! Sijapenda ๐
Kitenge cha binti wa zamani hiki ๐น๐น
P ๐Basi sawa naomba lipa namba utakopo enda kula
Kitenge kina style zote za kuzimu..!! ๐นUkiskia matusi ya nguoni, ndio hayo sasa...๐