Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Mkuu umewaza sana, bila shaka ushapitia yote yanayofikirika na kuona kwamba ni ubatili mtupu. Ukifikia hii level of reasoning utaelewa na kuchukulia kawaida kwa kila unaloshuhudia.
Yes 👊
 
Mi nikizidiwa na vikoba nahisi hii dunia ni mbaya sana,natamani nijilaze kwa road magari yapite na hewa yangu.

Nikishalipa hivyo videni,huwa najiuliza sana,hivi hawa watu wanaowaza kujinyong’a hivi wanajua ladha ya nyeto kweli.😋
Why unapiga nyeto, Mbeya vijana hawanyenyenti, hutongozwi au niaje?
 
Kwangu mimi ninapo fanya wema fulani napata sana furaha.
Kwa lugha rahisi furaha ya maisha inakuja pale unapo kuwa sehemu ya furaha iwa kwa wengine.
P naomba nisaidie hela ya kula furaha izidi kuongezeka moyoni mwako..!! 😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…