Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

Pesa ndo msingi wa kila kitu
 
Ungeuliza tu hobbies za watu ni zipi. Binadamu wote wanahitaji afya njema, pesa na mapenzi kama mahitaji ya msingi. Mengine kama pombe, sigara na dini ni mambo madogo madogo tu ya ziada, ila kuna hobbies na passions zinazowafanya watu kuhisi thamani ya ziada ya maisha.
 
Wenzio washasema inatosha jikite kwenye mada basi๐Ÿ™Œ
hadi ufahamu tofauti ya ๐‹ na ๐‘ katika neno na namna zinavyoathiri maana ya neno. Nahisi siku nyingine utachunguza kwanza kabla ya kuwasilisha.
Ili nikuache tofautisha kati ya maneno haya; ๐ค๐ฎ๐ฅ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐ซ๐š.....
 
Kama sitaki je ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Ebu niache aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ