Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?

mala nyingi❌❌❌ ma𝐫𝐚 nyungiβœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈ
Nyungi❌️❌️❌️❌️
Nyingiβœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈ
 
Unakosea unasema majungu? Hili jukwaa ni darasa huru.
Ukizungumza jambo mara moja kwa nia ya ku elimisha unaeleweka ila kulishikia bango ni kama majungu

Nyongeza : sio kila mtu humu tangu azaliwe na kujifunza kuongea alikua anazungumza kiswahiliπŸ™πŸ™πŸ™
 
Nimeongea mara moja tu. Baada ya hapo mimi najibu tu watu walioninukuu kama nilivyokujibu wewe. Hutaki nijibu?
 
Nimeongea mara moja tu. Baada ya hapo mimi najibu tu watu walioninukuu kama nilivyokujibu wewe. Hutaki nijibu?
Dah πŸ˜… haya jibu kwanini usijibu sasa 🫴
 
Aaah mr mahangaiko sijui hata anaswampia wapiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ

Labda yupo kwa mke mdogo Seran
Wewe unamuoneaga yule babu bhnaπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…