Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Kwema gentleman asaise nashukuru gentleman,
kwema huko 🐒
Hujambo gentlemanndugu mdau,
pamoja na kua mimi ni mwanasiasa muandamizi na mbobevu kwenye masuala ya kitaifa na kimataifa, lakini pia ni mtumishi mchapakazi wa wananchi, mkulima, mfugaji, muhadhiri, mfanyabiashara, lakini pia ni Apostle miongoni mwa mitume na manabii humu nchini.
So,
ninapochangia hoja ninachangia nikiwa na focus katika maeneo hayo kulingana na mantiki ya hoja yenyewe.
mnivumilie tafadhali kama nachomeka sana 🐒
Kweli maa😍 kama upo dar es salaam ukitaka kuja nitakupa location ♥️😁😁 Sema hakyamungu...nipe location
Haya ndio mambo napenda mimi 😁😁 tutaongea vizuriKweli maa😍 kama upo dar es salaam ukitaka kuja nitakupa location ♥️
Sawa sweetieee♥️Haya ndio mambo napenda mimi 😁😁 tutaongea vizuri
Kwenye afya na pesa.Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?
halafu ndugu mdau,Nilijua 😅😅 tu lazima ujipakulie minyama 🤣🤣🤣
Haya Apostle
Sawa sawa mdau 👊
🤣🤣🤣
Exactly 💯Kwenye afya na pesa.
Ukishakuwa na haya mawili mengine yote ni mtelemko tu
Gudubaiiii mdau 🐒halafu ndugu mdau,
hizo nyama unazitaja na sioni hata mchuzi hua unanichanganya sana aise,
labda humu jukwaani kuna watu wanatafuna finyango na mimi sijui, aise?🐒
r.i.p in advance 🐒Gudubaiiii mdau 🐒
Unachokitafuta utakipatar.i.p in advance 🐒
in fact,Unachokitafuta utakipata
Una jizima data et 🤣🤣in fact,
nina hakika nitakifurahia, right?
I hope and guess kinaweza kua miongoni mwa ladha za maisha 🐒
data zizimagi ndugu mdau, hua nazima cm kabisa,Una jizima data et 🤣🤣
Haya lala unono basi
Canada wapo yumba kwa bao moja
Huishiwi maneno lol 😆data zizimagi ndugu mdau, hua nazima cm kabisa,
🤣🤣🤣 nicheke mieCanada ni miongoni mwa waandanaji wa kombe la dunia urojo zaidi,
anaweza kushinda mechi moja tu, ambayo ni dhidi ya Qatar, kinyume na hapo, yeyote yule anae kutana nae, anaopoa point3 kama vile kapoa kitu uwaja wa fisi manzese.
Mambo ya ladha hayo sema kufungwa ukiwa home ladha inapungua😢na huenda hiyo ikawa ndio miongoni mwa ladha ya maisha yake kwa wakati huo 🐒
Kitengo ya RADHA ya vitenzi shirikishiBAKITA upo kitengo gani kiongozi?
Kalale ndugu yangu, kesho wewe ndiyo mkusanyaji wa sadaka!Kesho jumuiya ya Mt Bakhita cc Binti wa zamani
Dear miss you🥰Kalale ndugu yangu, kesho wewe ndiyo mkusanyaji wa sadaka!
Miss you too babes 🥰Dear miss you🥰