RIGHT MARKER
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 129
- 473
Ndoto yako ukiitangaza kwa mtu au watu ni ngumu sana kuitimiza kwasababu tayari ushaitimiza kwenye matangazo yako.
Ladha ya ndoto yako itapotea pindi utakapoiweka hadharani. Hutotamani kuendelea nayo kwasababu tayari umeitangaza kwa watu na imepoteza ladha kwenye moyo wako, na mbaya zaidi tayari watu wamekupa "hongera" kabla hukuanza chochote.
Kwa mfano: mwakani una ndoto ya kununua gari aina ya Van guard. Kila siku unapost picha za gari ya aina hiyo huku ukiandika caption ya kuwajulisha watu kuwa una mpango wa kununua hilo gari. Watu watakupa hongera, au pia wanaweza kukaa kimya. Matokeo yake ni wewe kupoteza ladha ya ndoto yako.
Baada ya kupewa "hongera" nyingi kabla hukununua hilo gari utahitaji tena upewe hongera zaidi, hivyo utaanza tena kupost gari ingine; mfano CX5 MAZDA huku ukiwajulisha watu kuwa umeghairisha kununua Vanguard sasa utanunua CX5 MAZDA.
Utapewa hongera na sifa kedekede, baada ya muda fulani utabadili tena mawazo. Siku zote utakuwa unaendeshwa na hisia zako zisizokamilika.
RIGHT MARKER
Dar es salaam.