tinna cute JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 4,630 Reaction score 2,308 Oct 12, 2013 #21 charminglady said: Hivi sie wa la saba hatuna vigezo vya kuolewaaa????? Yeuuuuwiiiii............ Click to expand... tusibiri la saba felia wenzetu!!!!!
charminglady said: Hivi sie wa la saba hatuna vigezo vya kuolewaaa????? Yeuuuuwiiiii............ Click to expand... tusibiri la saba felia wenzetu!!!!!
SaidAlly JF-Expert Member Joined Jan 22, 2011 Posts 2,328 Reaction score 2,228 Oct 12, 2013 #22 Mr. President said: ==> Graduate...kweli...!!?? wtf...is it...!!?? ==> a boy....28 yrs...☆☆!¡¡¿¿ ==> a women...○○¡¡¡¿¿ ==> 2.4 - 2.7 meters in height....?? mfk....ur a dead walking young man....poorest graduate....●¡¡¿¿ Click to expand... Ndio hapo mkuu ukisikia wadau wanalalama kiwango chetu cha elimu kimeshuka ukubali.
Mr. President said: ==> Graduate...kweli...!!?? wtf...is it...!!?? ==> a boy....28 yrs...☆☆!¡¡¿¿ ==> a women...○○¡¡¡¿¿ ==> 2.4 - 2.7 meters in height....?? mfk....ur a dead walking young man....poorest graduate....●¡¡¿¿ Click to expand... Ndio hapo mkuu ukisikia wadau wanalalama kiwango chetu cha elimu kimeshuka ukubali.
P Primm Member Joined Jul 22, 2011 Posts 28 Reaction score 4 Oct 16, 2013 #23 "Fedha na mali ni urithi mtu hupewa na babaye, lakini MKE mwema atoka kwa BWANA" Ndugu muombe Mungu akuoneshe alie sahihi kwako maana unaweza kumpata mwenye mlolongo wa sifa ulizotaja, lakini ndani mkawa hamuelewani kabisaaaaaa, yaani paka na chui.
"Fedha na mali ni urithi mtu hupewa na babaye, lakini MKE mwema atoka kwa BWANA" Ndugu muombe Mungu akuoneshe alie sahihi kwako maana unaweza kumpata mwenye mlolongo wa sifa ulizotaja, lakini ndani mkawa hamuelewani kabisaaaaaa, yaani paka na chui.