Ladies kama ni wewe utafanya nini?

condorezaraisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
225
Reaction score
116
Kwa mfano mme/Boyfriend kaondoka labda siku iliyopita mchana na karudi nyumbani kesho yake asubuhi
Au kaingia nyumbani saa saa tisa ,kumi au kumi na moja ..imezidi kaingia asubuhi kweupe?
Na hii imeshatokea kama mara tatu au nne katika miaka tofauti tofauti...

Reaction gani utakuwa nayo kwa muda huo atakaoingia:A S-fire1:?
 
The first thing nitamuuliza alikua wap?jibu lake ndo litanipa next step

asante mama Isaac
Ngoja niwasubiri na wenzangu nilio nao Arumeru..
Maana hatuishwi kudanganywa nilikuwa nalinda kura Arumeru
 
Kama keshakua anafanya haya mambo japo mara moja kwa mwaka na akija same story gari iliaribika na huoni hata dalili,au aje na story mpya kila mwaka mie ningesema basi asijipe shida yakujiiba aende akalala kila siku kwa raha zake...
 
hata ukimuuliza unadhani atakupa ukweli?
simple mie nitaondoka two days akiuliza namjibu tu gari liliharibika....
atajituliza mwenyewe..........
maana wanaume wengine wanataka undava ujibiwe kwa undava bdo akili zinawakaa sawa






{dont try this at home......loh}
 
Ntampa maji aoge, kama hajala ntampa pia chakula, kisha ntampa na ile kitu iliyonitoa kwa baba na mama. asubuhi ndo ntamuliza alikuwa wapi nami ntapima utetezi wake kwani ntakuwa namwelewa tabia yake ni vipi anadanganya ama anasema kweli na maisha yatasonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…