FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #21
Preta baada ya hili sakata kuwa wazi ..huyu jamaa hajaonekana mpaka leo ..na mbaya zaidi huyu mama hakumfatilia hata kujua anakaa wapisasa na yule kaka aliyejitambulisha na akasema atamuoa huyo binti wa kazi, ameishia wapi?
Huyo mama wala asijihangaishe kumfuatilia huyo mkaka, manake inaonekana baba na h'gal walimtengeneza ili kuficha ukweli...hata hizo nguo na pesa za matumizi yaezekana pia alikuwa anapewa na baba mwenye nyumba... Kuna wanaume wabaya ndugu yangu, mara mia ukutane na simba kuliko kukutana na mwanaume dizaini ya huyo mbaba, unakula nao na wabaya ni hao, hao! Shame on him!Preta baada ya hili sakata kuwa wazi ..huyu jamaa hajaonekana mpaka leo ..na mbaya zaidi huyu mama hakumfatilia hata kujua anakaa wapi
Ingawa jamaa alikuwa anajitahidi kuja hapo nyumbani kabebelea ,nguo pesa na matumizi mengine ya mama na mtoto.
Inauma aisee!...unamlea h'gal kwa upendo wote kisa mjamzito kumbe mimba ni ya mumeo!.. Daaah! Sipati picha maumivu ya huyo mama yakoje!Chauro hiki kisa kimenisikitisha sana kila nikiwaza sipati majibu ,hivi unakaa na adui ndani ..mnakula sahani moja bila kujijua mpaka mtu anazaa na mmewe bila kutambua.
Halafu nimeshtuka sasa, dizani kama kuna dili lilikuwa limechezwa na hao watu watatu ukimtoa wife wa jamaa maana jamaa anatokomea tu ghafla mhhh!!!Preta baada ya hili sakata kuwa wazi ..huyu jamaa hajaonekana mpaka leo ..na mbaya zaidi huyu mama hakumfatilia hata kujua anakaa wapi
Ingawa jamaa alikuwa anajitahidi kuja hapo nyumbani kabebelea ,nguo pesa na matumizi mengine ya mama na mtoto.
ahhaaaaaaaaaaaaa we umeona tu hlo loh!Duh!! Huyu binti anajua kutunza siri aisee...loh
Swadakta sis P, I was just trying to figure out why did she bring that poor boy to introduce himself as a father? and where is he now? Huyo binti (beki tatu) na father house wanatakiwa watoe ufafanuzi zaidi.sasa na yule kaka aliyejitambulisha na akasema atamuoa huyo binti wa kazi, ameishia wapi?
Huyo mama wala asijihangaishe kumfuatilia huyo mkaka, manake inaonekana baba na h'gal walimtengeneza ili kuficha ukweli...hata hizo nguo na pesa za matumizi yaezekana pia alikuwa anapewa na baba mwenye nyumba... Kuna wanaume wabaya ndugu yangu, mara mia ukutane na simba kuliko kukutana na mwanaume dizaini ya huyo mbaba, unakula nao na wabaya ni hao, hao! Shame on him!
Hiyo ilikuwa deal tu nadhani ni rafiki wa karibu sana wa jamaa ambaye anafahamu issue nzima. Hahahhaha labda anajiandaa kuwa mshenga au bestman siku ya harusi. Inasikitisha sana kama mtu anaweza kumwumiza mwenzake kiasi hiki. Msichana wa kazi hajamtendea haki mwanamke mwenzake hata kama ni kuficha siri hii imezidi. Mimi ningemshauri huyo mama aondoke tu hapo huyo mwanaume hana mapenzi naye akiendelea kukaa atajutia maisha. Naamini ataweza kujitunza yeye na watoto(baba atoe matunzo kwa watoto) ataweza kumpata mume mwingine ambaye atampenda kwa dhati. Maisha popote.sasa na yule kaka aliyejitambulisha na akasema atamuoa huyo binti wa kazi, ameishia wapi?
Sidhani kama ataendelea kumuamini tena huyo mumewe, kuliko kuishi kwa wasiwasi ni bora kujiengua tu!! I doubt, huo mkwala wa kusema kuwa wameanzia kijijini ni kupunguza soo tu, no wonder ukifungua moyo wa huyo baba utakuta anaombea wife aondoke ili wajinafasi na h'gal!
My take. Inawezekana ilikuwa ni makubaliano ya wazazi (kushurtisha jamaa amuoe binti wa kijijini) bila ridhaa ya kijana na ikabidi kijana akubali kuwaridhisha wazazi but akawa na lake moyoni. Akamgeuza msichana wa kazi ambapo hakuwa na mpango wa kumwoa lakini kwa kuwa ndo hivyo tena ikabidi awe ana'jifaidia' pale anaposhikwa na njaa ..ile ya somba akizidiwa hula hata nyasi. Na bahati mbaya akanogewa akachovya mpaka akatengeneza mtoto akiwa ndoani.....atasema nini zaidi ya kutafuta story na mtu wa kumcover?
Baada ya kuoa mke alomkusudia, akamzalisha na pengine mke akaanza vinyodo au kamchoka tu na akitazama kwa binti wa kijijini adabu na heshima bado imelala plus malezi, hewa ya mjini ah binti kapendeza anafaa kuwa mampsap wake ............kaamua kutoboa siri.
But all in all huyo binti ni msiri aisee.
Aisee kama ni mimi hata sijui nitafanyaje...........
na kwanini huyo baba hakumuoa huyo h/girl pale mwanzo.....
kwa sababu alimjua h/girl kabla ya huyo mke wake.......wanaume bana.....