Ladies nisaidieni kuondoa hizi stress.

Ladies nisaidieni kuondoa hizi stress.

vira

Member
Joined
May 28, 2012
Posts
8
Reaction score
0
I am a married men but not very happy with my ndoa. Nahitaji marafiki wa kike ambao wako tayari kunisaidia kupunguza hizi stress. If serious and mean very serious pm.
 
Hata mkeo yupo na Tatizo kama lako,ila anakuheshimu tu wewe hivyo na wewe muheshimu mkeo.
 
Unatafutua tatizo kwa kukimbilia kwingine
Yatatue matatizo ya nyumba yako na pambana kujua kuwa ni kwa nini huna raha ya ndoa yako
Sasa kumwacha mke na kukimbilia nje ndo umetatua tatizo aise
Na huko nje unakokimbilia ndiko suluhisho la ndoa yako lilipo
 
Namheshimu na kumpenda sana kiasi cha kutotaka kumuuzi ndio maana nataka kupumzisha akili

Hata mkeo yupo na Tatizo kama lako,ila anakuheshimu tu wewe hivyo na wewe muheshimu mkeo.
 
Acha usanii hutaki kumuuzi haliafu unamtafutia wa nje....wapo wa kumwaga kwa mtogole
 
Sasa mkeo vip? Sasa na yeye akitutafuta sisi itakuwaje?
 
Sasa huku kwangu ndio unadhani hutapata stress? Acha kujidanganya..
 
Back
Top Bottom