Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tushatapeliwa sana na hizo michongo zenu....haipo hiyo kasikilizie ukiwa mbali na upeo wa macho yangu
Dah, punguza jazba, labda unaahidiwa na Ruto ajae!Tushatapeliwa sana na hizo michongo zenu....haipo hiyo kasikilizie ukiwa mbali na upeo wa macho yangu
Akili maisha ni akili mtu wangu, Jua kusoma nyota ya Mtu.Tushatapeliwa sana na hizo michongo zenu....haipo hiyo kasikilizie ukiwa mbali na upeo wa macho yangu
Tukiwa tunaiskilizia huku tukiwa mbali na macho yako bc tambua kuwa tukishayapata tutaona wengine tofauti na wwTushatapeliwa sana na hizo michongo zenu....haipo hiyo kasikilizie ukiwa mbali na upeo wa macho yangu
Hili jambo mbona huwa nalisema mara nyingi. Majina ya jinsia zote yanajirudia kwenye nyadhifa fulani.Kuna majina fulani ya wanawake huwa yanatawala sana ktk uongozi na umaarufu. Sijui ni wingi wake, bahati au kuna sababu ya ziada. Mfano, Maria, Rose, Janeth, Rachel, Joyce, Aisha/Esha/Asha.
Umelenga mulemuleeee🫵Hili jambo mbona huwa nalisema mara nyingi. Majina ya jinsia zote yanajirudia kwenye nyadhifa fulani.
Ni vigumu ukutane na DJ anaitwa Richard au Benjamin, kama ana hilo jina mchunguze nyumbani au mtaani atakuwa na jina linalotumika sana zaidi ya hilo. Na bado atakuwa na a.k.a yake ya kazi
Vigumu kukutana na CEO wa benki mbongo anaitwa Frank, Jerome au Abuu, utakutana na Benjamin, Mohammed au Hussein. Kwa wanawake utawapata kina Nancy, Lorraine na Miriam kwenye urembo na umiss na waolewe na wachezaji au mastaa. Kina Zuena, Maria, Asha, Janeth huwa hawaolewi na waenda gym kujaza misuli. Vigumu usikie first lady Afrika hapa anaitwa Marylin.
Kuna majina nikiyasikia huwa nayakataa kwa kazi fulani. Benjamin Mwakyembe akiomba kuwa DJ namkatalia. Ila Alexander Tozi akiniomba kuwa accountant nakataa. Huwa natamka jina mfululizo najaribu kuliita na kulinganisha position, lisipokujakuja trust me halifai hiyo nafasi. Huwezi kuwa na Rais anaitwa Kelvin Melkisedeki