Ladies, what do you wear in bed?

nimegundua kuna watu wazinzi hapa maana wame-comment tena namba 8 wakati hawajaoa rasmi wala kimauongoo. Sergio nilikumisi
 
mie namba 8 inanihusu asilimia99.9 siwezi kulala ma hata upande wa kanga nikiwa ugenini nateseka yaani ni sleepless nights sipendi kwenda kwa watu /ugenini
 
kwa kweli sijui. mi nalala na nephew wako ndo maana natinga hiyo. Otherwise napenda vigauni vyepesi na vijikaptula ila sina hayo maumbile yalisemwa hapo
Hahaha sis kwani kigauni chepesi ni hadi uwe na figure number 8?
 
Mi sijawahi kuspend night na mwanaume since nzaliwe...sometimes napitiwa hivohivo nimevaa kabati(minguo mingi),mda mwingine pichu tu ndani ya shuka,nkijifunga khanga naikuta iko pembeni...Maisha yanaenda!!
Nasubiri siku nkian,a kulala na mume itakuaje.
 
nimegundua kuna watu wazinzi hapa maana wame-comment tena namba 8 wakati hawajaoa rasmi wala kimauongoo. Sergio nilikumisi
Sasa uzinzi unahusiana nini na watu walioamua kulala na birthday suit kwenye vitanda vyao?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…