Ladies. . . what's HOT, what's NOT?

Nyie watu nyie.....leo jumapili ati!! Mazingira gani hayo yakumfunua mtu kutafuta mvuto?? Labda ka ushanasa tayari!

Hahahahaha kakondooo nawe bana, tangu.lini.umeanza kuchukulia vitu literal namna hiyo?
 
tall,a bit mascular-but strong,kinda dark(not black), killer smile plus dimples,deep eyes,CLEAN &SMART!(upstairs too,nt physical i know),honest(kwa eyes tu)..al be gooone!like Nelly and Kelly..lol..Lizzy,that pic is really cute..
 
Dark eyes, a normal height (neither too tall nor too short), brown skin, shaved chin (aisee nachukia midevu isiyo na msimamo usoni kwa mwanaume), flat tummy with 6 pacs.. Charmin face isiyoogopesha at first glance! Halafu.........
 
Midevu hata mi siipendi kabisa!
 
nikisema raha yake mtaniangalizia
afu washindani muwe wengi
sisemi ng'oo
Sasa hiyo pua kubwa inakupa raha gani? Tena na matundu mapana hahaha we kongosho una issues jamani dah!
 
Lizzy, hard to believe lakini I'm not attracted with anything physical except USAFI. Niko fussy kuhusu usafi (kucha, nguo, nywele, ngozi, na ka-masculine cologne), ila I melt from the inner person. So I would fall for the guy's shoes or shirt and picture it on my man. Anything with a big, gentle, kind heart makes my knees go weak hata kama beer belly na makengeza vinahusika . As a result I'm never a 'love at first sight' kinda gal, hadi nimzoee mwaka mzima ndo aanze kunivutia.
 
:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
 
loh kama huyu amekatika katika vzr kweli uku mgongono, anafaa kwa matumizi ya binaadamu aisee.
anahamasisha haswaa.
 
Intelligent,yes u are!!
 
I FEEL YA!
Mie mradi kichwani ziwemo plus za kuishi na watu, basi hoi hoi naangukia pua mzima mzima.
Usafi na mengine yooote huwa naamini ntamtengeneza.

jamani, mbona ndevu zinahusika sana kuleta muwashawasha wakati wa kuimba kwaya???
Nimeamini umuhimu wa umma hadi ujue kuutumia, vinginevyo utang'ang'ana kuchania nywele afu hata haiwezi.

Kipipi na aymner, sijui nifungue twisheni bila malipo.

Dark eyes, a normal height (neither too tall nor too short), brown skin, shaved chin (aisee nachukia midevu isiyo na msimamo usoni kwa mwanaume), flat tummy with 6 pacs.. Charmin face isiyoogopesha at first glance! Halafu.........

Midevu hata mi siipendi kabisa!
 
Hahahahahah!
Nimecheka sana,
Asante The boss nimetambua watu tunatofautiana sana lol!
 
Mie hayo mambo ya physical apperance wala hayana nafasi kwangu coz most of them yanatengenezeka tu,
As long as ni mwanaume na sio kivulana,matured enough,mcha mungu,He loves me as aim and understanding person mie hoi bin taaban!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…