Hahahahahah!
Hao wala unywele haunistui,
Type yangu ni km hao hapo juu,na mara nyingi ni ngumu sn kuibiwa na mwingine,
Coz sifa zao hazionekani kwa mamcho ya kawaida ni mpaka watu km mie ndio wanawagundua ambapo ni wachache sana humu dunian!!!
Ni vizuri pia kuongelea kuhusu vipaji vya wanaume kama akili nyingi na uchapakazi kuliko kuwazia tu ngono na uzuri wa mwanaume.
Kumbuka kuwa unaweza kuolewa au kuzaa na unayempenda ambaye ana sifa zote unazotaka lakini yuko dull.
Watoto utakaopata pia hawatakuwa na akili au uchapakazi na utabaki ukiwalaumu watoto kumbe mwenye makosa ni wewe.
Tujaribu ku cross bread vipaji ambavyo vitasaidia famia na Taifa na siyo kuwaza sitarehe ya mtu moja au wawili tu.
Ndo maana, lol! At least I slowly learn what is in the mind of other sex. But ukiwa na yoote hayo and yet unaonekana ni loser, would love still be holding??? Maana u handsome unakwenda na ukubwa wa mfuko ulionao