Ladies............

Ladies............

Q.L

Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
57
Reaction score
10
Habari zenu wadada wenzangu,

Inasemekana kwamba tatizo la viginal candidiasis kwa wanawake ni jambo la kawaida ingawa halina maambukizi,na mara nyingi husababishwa na kutumia sabuni na water gel wakati wa kuosha viginal au kutumia perfum au spray kwenye viginal na hivyo husababisha muwasho kwa ndani na kwa nje kwenye viginal na kutoa uchafu mweupe kama wa chaki nyeupe zilizosagwa na kuwekewa maji.

Je wewe dada wa umu JF umeshawai kupata tatizo ili na kwa mara ngapi umelitibu likapona au bado unaendelea kilifanyia uchunguzi zaidi?
 
Back
Top Bottom