pole prime,kweli hiyo tabia baadhi ya wanawake wanayo ni mbaya sana....hakuna mtu anapenda kujihisi anatumika vibaya,si sahihi na wala haipendezi mtu kumtumia mtu vocha halafu asiwasiliane na wewe hadi wakati akihitaji tena vocha....wengine hadi wanatumia wanaume wengine vocha anayotumiwa na mpenzi wake.ni tabia mbaya sana na hapa hata mwanaume akimfanyia hivyo mwanamke ataumia.
Sijaona kama amemsema,kwani kuna mahali kamtaja jina,anasema tabia zilizomkera na wengine tujifunze.....usisite kutuambia prime,ili tujue nini kinawakera turekebishe mahusiano yadumu!