Lady doctor naomba tuwe wapenzi

MD25

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
3,074
Reaction score
1,023
Lady doctor, kwa muda mrefu sana nimekuwa nafuatilia posts zako humu na kwenye MMU.

Kwa kweli nimetokea kuvuiwa sana na wewe, unaonekana ni mwanamke unayepaswa kuwekwa ndani, una busara, unajua mwanaume anataka nini.

Kwa kweli ukinipa nafasi nitashukuru sana. Nimeona nisikutumie PM, ila niandike humu, ili hata wanabodi waweze nao kunisaidia.

Lady doctor nakupenda na nahitaji nianzishe familia nawe, naomba ukubali ombi hili...
 
Arushaone utatumia AK 47 au ile teknolojia ya babu wifi anatongozwa hadharani
 
Last edited by a moderator:
Wii naona kuna mtu ameamua kuku PM hadharani......sijui utasemaje leo
Lady doctor come zis way kuna moyo wa mtu umekudondokea

Its true [MENTION] Heaven on Earth [/MENTION], huyu binti namzimikia ile mbaya. Nimeshajaribu kama mara 2 au 3 hivi ku-PM lakini anasema nimpe muda, sasa yapata kama miezi 6 hivi, bado ananizungusha

Nimeamua kuja live, ili ajue nampenda kwa dhata... I love you so much [MENTION]Lady doctor [/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
Arushaone utatumia AK 47 au ile teknolojia ya babu wifi anatongozwa hadharani

Mkuu silaha pesa, bunduki mzigo. Huyu binti yeye anahitaji pesa na sio hiyo mibunduki..
 
Last edited by a moderator:

aione Arushaone

yaani wii wangu ana mume na bado anakwambia umpe muda Lahaula!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ni vzr mkuu umeamua kufunguka unaweza kufanikiwa.....teh teh teh!
 
Mie nawaangalia tu... for any conclusion you guys reach at... see me..
 
Lady doctor nakupenda jmn,naomba nikubalie.sikia kilio changu,wivu kidonda,achana na yaliyopita tugange yajayo jmn.
Njoo tuendeleze maisha yenye mafanikio tele.Nakupenda jamani Lady doctor angalia moyo wangu unavyolilia penzi lako
 
Last edited by a moderator:
Mkuu silaha pesa, bunduki mzigo. Huyu binti yeye anahitaji pesa na sio hiyo mibunduki..

Umewahi mwandikie credit card yako namba zake na password yake then ukaona anakujibu nn?

Mkuu acha longo longo;achia CRDB Tembo credit card mrembo aanze kuichanja na ndiyo wengi wanavyofanya hapa na wanafanikiwa kupata warembo!

Maneno bila vitendo warembo hapa watakuzushia kuwa ww ni chizi!
 


Mkuu... Huyu mtoto Lady doctor yeye ni mwanamke wa kuoa, yeye si kiluka njia kama hao wa kwenu mnaowanunua kwa TEMBO CARD.... Au unataka kuniambia watu wanapiga sana Lady doctor . Kama vipi niweke wazi, nisije nikaona nimepata kumbe nimepatikana....
 
Duuu kaka komaa yani miezi sita bado anaitaji muda inamaana kaku extend probation period au ulimes up smwhr smhow.mm namvutia kasi Madame B
 
Last edited by a moderator:
Duuu kaka komaa yani miezi sita bado anaitaji muda inamaana kaku extend probation period au ulimes up smwhr smhow.mm namvutia kasi Madame B
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…