Arushaone utatumia AK 47 au ile teknolojia ya babu wifi anatongozwa hadharani
Mkuu silaha pesa, bunduki mzigo. Huyu binti yeye anahitaji pesa na sio hiyo mibunduki..
ewe mwanaume usiwe mwepesi wakuanika udhaifu wako
Jipe moyo, ila mme mwenzangu kwa jinsi Lady doctor anavyokuponda, ningekuwa wewe ningeachana nae tu...
Mkuu... Huyu mtoto Lady doctor yeye ni mwanamke wa kuoa, yeye si kiluka njia kama hao wa kwenu mnaowanunua kwa TEMBO CARD.... Au unataka kuniambia watu wanapiga sana Lady doctor . Kama vipi niweke wazi, nisije nikaona nimepata kumbe nimepatikana....
Mpotezee tu huyo, hana lolote anataka tuachane tu. Nadhani katumwa na banana man.
Haikuhuu!
Ndo mmesababisha ban kabisa? Naona Arushaone kammaliza jamaa. Mpaka atoke kifungoni kwishney. Heheheee
Makavu laivu, hadi huruma!!!tuheshimiane tafadhali!!