sasa unamtaka kimapenzi, nafasi ya kazi, nafasi ya u-miss, unataka kuoa, msichana wa kazi za ndani au just a friend? mwaga data zaidi
sasa unamtaka kimapenzi, nafasi ya kazi, nafasi ya u-miss, unataka kuoa, msichana wa kazi za ndani au just a friend? mwaga data zaidi
Simple woman aged from 20-25,
Education Level: atleast 4m 4 or 6.
Religion; CHRISTIAN
TRIBE: SUKUMA
COLOR: Simple white o black beauty
see me on francismabina@yahoo.com
Hahahahahahhahah
dahhh una vituko
lakini maswali mazuri sana
Hahahahahahhahah
dahhh una vituko
lakini maswali mazuri sana
Haaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaa, napenda klcho bora na asilia. Huo mkorogo nafsn mwangu haupo kabsa najua wanawake wamebaki wachache wenye rangi zao ASLIA
Makoye ga mbiti!!! haya mie msukuma at last zali limenidondokea, nanusa harufu ya pilao