Lady-Gaga-strips-completely-naked-as-she-surprises-audience-at-London-club-G-A-Y

zama za mwisho zakaribia
huwa nawafannisha ngozi nyeupe na manefili walioisababishia dunia ikaharibiwa enzi za Nuhu,
ni wale malaika wabaya alikuja na kuzaa na binadamu ndio wakatokea hawa majitu..
 
mimi naomba kuuliza huo uki=umbi ni wa mashoga ama wa wanaume marijali??
maanake ukweli kuchojoa hadharani mbona wanaume rijali watakushambulia kama mpira wa kona??
 
kumbe ana kijungu cha ukweli.i wish ningekuwepo nimrukie
 
ushwetani tu, au alikuwa anawawangia ukumbini jamani mbona mambo ya ajabu, tunarudi enzi za kutostaarabika?
 
Daah kuna mijitu haijipendi sa ndo nini kafanya zaidi ya kujidhalilisha! Au ndio mambo ya dear GAMBE, maana anaongea kiteja na hata chezaji yake ni ya kitejatejaa!!!!!!!!
 
kila nchi ina taratibu zake na mila zake ndio maana huyo mwanaume mzima hapo pembeni anaangalia huku akitabasamu na hata vyombo vyao vya habari hutoona vikimshutumu maana wenyewe kutembea utupu ni moja ya tamaduni zao za kutukuzwa kabisa
 
anajaribu kufungua njia watafuata mdogo mdogo kwani miley cyrus nani hamjui au kadashian sex tape.. hivi hivi itahLalishwa kua uchi utasikia ni human rights afu wadada wataanza kututembelea uchi... sasa tahadhari, mfanye hivo muone, nyambafu
 
mimi naomba kuuliza huo uki=umbi ni wa mashoga ama wa wanaume marijali??
maanake ukweli kuchojoa hadharani mbona wanaume rijali watakushambulia kama mpira wa kona??
ulinzi mkubwa
 
Lady gaga ni chizi pamoja na vituko vyake ataolewa sijui wazungu huwa wana akili gani.
 
Yaani huyo kufumba na kufumbua angejikuta amelowana shahawa mwili mzima,maana sisi wengine huwa tunarusha kama bomba lililopasuka kwa presure ya maji
 
nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu wasanii kama rihanna, lady gaga kim kadarshian na wengineo weeeengi ambao wako kwenye listi ya wasanii wanaofanya mambo machafu kama kupiga picha za uchi/ngono na kujirekodi huku wakingonoka!

kwanini wafanye hivi?

ina maana wazazi wao hawaoni maovu haya wayakemee jamaniiii??? ama nao wako wanawasapoti??

this is lady gaga!
hii hali inatisha aisee!!

nahisi ufreemason kwao ni kitu cha kawaida sana!
 
Lo nina wasiwasi na wasanii wetu kuiga ujinga huu,anamwaga lazi kabisa sijui ni sanaa ya aina gani hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…