Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani naomba mnipe mazuri na mabaya ya lady jay dee
Chukua huu ushauriKamuulize kwenye blog yake
jamani naomba mnipe mazuri na mabaya ya lady jay dee
jamani naomba mnipe mazuri na mabaya ya lady jay dee
Kama wewe unavyojiona una mazuri na mabaya ndiyo binadamu wote tuna pande zote!..
Swali lako kwanza limekaa kishari sana mana usishaambiwa sijui itakusaidia nini?!!
Mind your own bness DICKHEAD, ukishajua itakusaidia nini. STUPID BOY, kojoa ukalale.
Mazuri yake:
Anatoka Mkoa wa Mara. Ameolewa na ni Mjasirimali. Anatumia vizuri kipaji chake cha kuimba Kwaya na kujipatia kipato chake.
Anasaidia sana ndugu zake na Mumewe kwenye mambo ya kipato.
Yuko karibu na wapenzi wake kwa kuweka habari zake zote kwenye Blog yake.
MABAYA YAKE: Nenda kwa Mumewe umuulize maana kwa sasa nafikiri ndiye pekee ANAYEMJUA huyu mamaa.....
Ahhh, nimeambiwa kuwa huwa anapenda sana kugawa kazi za kumuoshea Chupi na Viatu watu wenye tabia kama yako. Wahi wahi maana unaweza kuambulia walau kumfulia Sox mumewe.,,,,,,,,,,,,,
Hahaaaa. JF hata kama umechukia, kweli unamalizia hasira zako hapa; Asante kwa swali.
Na wewe hiyo avatar yako...ni kinyaaaaaaaaaa.......................
jamani naomba mnipe mazuri na mabaya ya lady jay dee