Mazuri yake:
Anatoka Mkoa wa Mara. Ameolewa na ni Mjasirimali. Anatumia vizuri kipaji chake cha kuimba Kwaya na kujipatia kipato chake.
Anasaidia sana ndugu zake na Mumewe kwenye mambo ya kipato.
Yuko karibu na wapenzi wake kwa kuweka habari zake zote kwenye Blog yake.
MABAYA YAKE: Nenda kwa Mumewe umuulize maana kwa sasa nafikiri ndiye pekee ANAYEMJUA huyu mamaa.....
Ahhh, nimeambiwa kuwa huwa anapenda sana kugawa kazi za kumuoshea Chupi na Viatu watu wenye tabia kama yako. Wahi wahi maana unaweza kuambulia walau kumfulia Sox mumewe.,,,,,,,,,,,,,
Hahaaaa. JF hata kama umechukia, kweli unamalizia hasira zako hapa; Asante kwa swali.