Lady Jay Dee afunga ndoa tena?

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Inadaiwa kuwa msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa akina dada, Binti machozi, Komando, Anaconda, Lady Jaydee amefunga ndoa weekend hii.

upitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honeymoon huko Zanzibar.


 
huyo alisha funga ndoa ila sasa anstarehe tu. Hivi alishalipa mkopo wa benki au aliuziwa dhamana zake?
 
Huyo ndiye shemela mpya?
Kama ni kweli ni jambo la kheri,hongera zao.
Na hili liwe fundisho kwa ving'ang'anizi wa mahusiano yaliyokufa.
Maisha lazima yaendelee,lakini mahusiano mfu hayawezi kuendelea.
Period
 
Ameshachuja...hakuna kiki tena ya kumuweka juu labda ajaribu picha za uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…