Wengine wana watoto ila wanawashinda kulea , wamwache cheusi dawa wangu aka bossy lady
Wamezidi kumpa presha.....kama hazai basi hajapenda.Nae binadamu jamani ujue anaumia
Ha ha ha kanichekesha alivyosema kwani mmeambiwa ntazaa rais ili awaondolee shida zenu
Kawakomesha vzur ***** next time hawarudii tena
Kwani ni Bikra huyu mdada.
Kutokuwa na mtoto ni stress sana huku duniani
Ha ha ha anasema basi muueni kama hazai.
Kwani ni Bikra huyu mdada.
Watanzania kwa uzushi,umbea ,ndio wenyewe.
Mwanamuziki nguli wa kike hapa Tanzania Lady JayDee ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa Forever amefunguka na kuonyesha kukerwa na kitendo cha baadhi ya mashabiki wake wa Instagram ambao walimuelewa vibaya baada ya kupost picha jana na kusema kuwa tumbo lake limevimba na kusema ana mimba..
Unalipi la kumwambia Jide hapo?
Ana hasiraaaa