unique dada
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 770
- 605
Ingekuwa ni hivyo usemavyo wazazi wetu wasingedumu kwenye ndoa zaoMwanamke akishagonga 30 tu wengi wao wanakua no longer suitable....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Si niliwambia!.nyie madada zetu walioanza kuzeeka tafuteni wazee wenzenu hata kama anapiga kamoja tu.vijana watawauwa
Maisha ya ukweli yanaanzia mwanadamu akitimiza miaka 40....The real life begin at 40Ingekuwa ni hivyo usemavyo wazazi wetu wasingedumu kwenye ndoa zao
Kudumu kwenye ndoa ni jambo jingine kabisaaa,nikuulize swali (samahani lakini) je bi mkubwa wako aliolewa na miaka 30's?Ingekuwa ni hivyo usemavyo wazazi wetu wasingedumu kwenye ndoa zao
SHIDA UZAZI... kachomoa sana sasa imebuma.. hii niliiwaza kabla na baada ya kupata msanii mpya.Hakuna kiki kaachwa .. demu amezeeka
sawa JokateHuo wimbo akimshirikisha Ali Kiba itakuwa bonge ya ngoma.
Ukiwa nae we mwenywe utamkataaMimi nampenda sana lad jde awe demu wangu sijui nitampataje