Lady Jay Dee ameachwa na Mnigeria?

Kwa akili za wanawake walio wengi wa sasa ni kuwafunua na kuwafunika tu. Usimuhurumie mwanamke akizingua, mpige chini, mpotezee yani kama humjui kabisa. Akili ya Jide ya sasa si ya kuolewa kabisa hata kwa mwanaume yeyote yule.
 
Nathani usichague subiri uchaguliwe ,huo ndio utamaduni wa mara na Tanzania jipe time kiasi
 
Huu ni mstari wa nyimbo yake mpya kama ulifuatilia kwe Fnl juz kat utaelewa alizungumzia hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…