Lady Jay dee baada ya kupokea tuzo, asema narudi kimya kimya

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
Katika post yake facebook, baada ya kutoka kupokea tuzo Lady Jaydee kawashukuru mashabiki wake, lakini cha kushangaza kasema anakuja kimyakimya.

Namquote "shhhhhhh, nakuja kimyakimya" huu ni wivu wa wazi kwa kuwa platinum katangaza kupokelewa na mashabiki wake! infact anachokifanya Platinum ni kujaribu kuwa karibu na mashabiki wake.

Musics is entertainment kama football na michezo mingine so mhusika akifanikiwa ni faragha akishangilia na mashabiki wake! hata arsenal waliposhinda fa cup walitembea mtaani London kote na mshabiki wao.

What Diamond is doing is what akina Usain Bolt hufanya wakirudi Jamaica! infact Diamond sasa ni level nyingine huwezi mlinganisha na Jaydee tena! big up Diamond.

Nawashauri wasanii wakongwe waache kumchukia diamond coz kaleta mapinduzi kwenye music! mbona Profesa Jay kaligundua hilo kafanya nae collabo na wimbo una hit kila kona.
 
alahhhh kumbe kusema nakuja kimya kimya ndo wivu wenyewe!!!!!!!!!!!!
 
habari zilinifikia ni kwamba kuna party kubwa inaendelea uwanja wa amahoro pale rwanda kushangilia tuzo ya msanii tajiri kabisa afrika mashariki yaani dangote platinum na kuna watu 40,000 wamejazana huku wakicheza nyimbo za msanii huyo anayemiliki majumba kadhaa na magari ya kifahari hapa jijini
 
Aiseee 40,000?
 
hilo dongo Jide kalirusha makusudi... tunaomwelewa tumemwelewa. ingawa siwezi kuita chuki au wivu.

thanx we umenielewa! aim ya kusema "nakuja kimyakimya" ni kujaribu kumponda platinum aliesema anaalika mapokezi!
 
Diamond kaleta mapinduzi gani kwenye industry ya muziki? naomba nitajiwe walau moja tu ......huyu dogo mnamkuza mno ........huu ni wakati wake tu kama alivyokuwa Mr Nice .....Saida Karoli .....n.k kutamba kwa msanii hakuna mahusiano na kuleta mapinduzi ......
 
Ndio madhara ya kukimbia shule na kushinda Jf hapo mwenyewe unaona umepost kitu cha maana kabisa kweli maboya mpo wengi

anataka ajaze thread
jide tunaomuelewa tunajua ana maanisha nini?
 

kweli sema kpind hiko huku hizi tuzo hazikuwepo au washindani walikua wengi ukiacha bet
 
Diamond nae kazidi.
Hata akijamba tutaambiwa sasa.

Ila hongera kwa tuzo.

Lakini aache kujihisi, aonewe wivu kwa lipi?
Tatizo ni hawa mashabiki yani wanataka watu wasiongee na wakiongea basi diamond anaonewa wivu!
 
Ni Mtanzania wa kwanza kuombwa namba ya simu na Nelly.
 
Asante kwa title nzur ila supporting evidence huna, hoja yako haina mashiko.
 
Naye kama anakuja kimya kimya aje kimya kimya Hovyoooo mbona wakati anapiga Mayowe kaonewa na Clouds ..tulijaa kwenda Kumsapoti Mpaka tukakosa pa kukaaa:mvutaji:! kasahau kama huruma yetu ya mayowe yake yalitufanya tujazane kuwazodoa clouds eheeee .:shetani:..akwendreeeeeeeee kule ! Diamond njoo na Matangazo tatizo liko wapi ...tena ukishuka tu tuchezee Kitondoro ......WanaWivu hao hao haooooo! Wachonganishi hao hao haoooooooo! Ohoo Mwendawazimu kaingiaje ?
 

Mkuu kitondoro ndio nini?
 
Huu ni mfano tu wa mikataba mingi ya uuaji wa watanzania. Sasa aliesaini huo mkataba ana tofauti na na majambazi kama walioiba hela Ubungo?

Labda mama ... naye ni mmiliki wa hiyo kampuni labda ana share huo.

mapokezi ya diamond platinum.. Shem darling

cc Matola
 

Attachments

  • 1406725333313.jpg
    104 KB · Views: 665
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…