Lady Jay Dee Clouds na ugomvi usiokwisha

manchoso

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
1,605
Reaction score
2,055
Haijalishi mmekosana nini ni wakati sasa kukaa mezani musameheane haya maisha tu afu ukizingatia mshakuwa watu wazima

Tumefundishwa kuwa binadamu hatokuja kupenda kamwe hadi pale atakapompenda anaemkuchukia.na mukumbuke kuwa msamaha ni kitu tunachokitoa kuwapa wengine ila kiukweli ni zawadi tunayojipa sisi wenyewe.

Na unaposamehe haimaanishi unalazimishwa kusahau kuna ubaya m
wingine hausahauliki lakini haupaswi kumchukia mtu bali unapaswa kuchukia matendo yake.

Wakati mwingine Mungu huzungumza nasi kwa matendo hivyo labda misiba hii imetokea labda iwe sababu ya Judith kumaliza ugomvi wako na clouds kwani tunafahamu ndio iliokulea na tulianza kukufamu kupitia tasnia ya sanaa ukiwa mtangazaji na mwanafamilia wa clouds siku zote tumetamani sana kuona ugomvi wenu unakwisha .

Kuishi kwa amani na mapenzi ni muhimu sana hasa kwa nyakati hizi, dunia leo imekuwa sio tena sehemu salama ya kujivunia kama ilivyokuwa zaman, vita mauaji na uhalifu leo imekuwa sehemu ya maisha yetu, na chanzo haswa ya yote hayo ni chuki visasi visivyo na suluhu. Na visasi mnapoviweka moyoni huwa kama mzigo ambao unaowatafuna taratibu sio yule tu unaemuwekea visasi bali na wewe mwenyewe, naamini chini ya jua hakuna kosa lisilosameheka( dunia tunapita na vyote tunavyoviona ni starehe ya muda mfupi)ndo mana tukaambiwa tuwe wepesi wa kusamehe sio mara saba tu bali saba mara sabini.
jide8bc.jpg

Mwanafalsafa mchina Confucius aliwahi kusema:
“before you embark on a journey of revenge, dig two graves”

TUSIISHI KWA VISASI KILA MTU NI MWEMA KULIKO UNAMVYOFIKIRIA

Nawatakia siku njema wana jamii forum wenzangu wote nawapenda sana
 
Kinyongo na chuki isiyo koma dhidi ya wengine, ni ishara ya udhaifu na kutojiamini.
Ikiwa ulikosewa ukasamehe, inaashiria ushujaa na kujiamini lakini pia ndio ukamilifu wa ubinadamu

[emoji2398]
 
Huyo mwana falsafa kwa hiyo lugha aliyo tumia blia kutafsiri... Baadhi yetu hatuelewi
 
Huu uzi ni wa kipuuzi kabisa kuwepo katika Jf... mleta mada kachambua maneno ya miaka mingi na kayafanya kama ndio mapya wakati Jide na clouds walishasameheana miaka ishapita Tatizo lilibakia Kwa clouds waliposameheana hawakupiga nyimbo za Jide watu wakawauliza clouds vipi clouds wakajibu kuwa Jide hajaruhusu zipigwe watu wakamfuata Jide ajibu Jide akasema sijawahi kataza mimi wamuulize Seven ndio meneja wa Jide Seven akaulizwa akasema pigeni nyimbo zote. . Akamaliza Clouds hawakupiga hadi leo hii... Jide alishangazwa akasema maybe wamesamehe nusu akanyamaza... Mleta mada ni Mpumbavu apuuzwe Kwa kuandika mambo asiyoyajua
 
Kinyongo na chuki isiyo koma dhidi ya wengine, ni ishara ya udhaifu na kutojiamini.
Ikiwa ulikosewa ukasamehe, inaashiria ushujaa na kujiamini lakini pia ndio ukamilifu wa ubinadamu

[emoji2398]
Ni kweli mkuu
 
Kwani wana madhara gani kwako na kwa jamii zinazowazunguka endapo wataendelea kuishi kama walivyo sasa?
 
Huu uzi ni wa kipuuzi kabisa kuwepo katika Jf... mleta mada kachambua maneno ya miaka mingi na kayafanya kama ndio mapya wakati Jide na clouds walishasameheana miaka ishapita Tatizo lilibakia Kwa clouds waliposameheana hawakupiga nyimbo za Jide watu wakawauliza clouds vipi clouds wakajibu kuwa Jide hajaruhusu zipigwe watu wakamfuata Jide ajibu Jide akasema sijawahi kataza mimi wamuulize Seven ndio meneja wa Jide Seven akaulizwa akasema pigeni nyimbo zote. . Akamaliza Clouds hawakupiga hadi leo hii... Jide alishangazwa akasema maybe wamesamehe nusu akanyamaza... Mleta mada ni Mpumbavu apuuzwe Kwa kuandika mambo asiyoyajua
una hamu ya kukoga matusi sio?
nioeneshe hayo maneno ya miaka mingi, punguza pombe fala wew unalewa hadi mda wa kazi nyambafuu
 
Kwani wana madhara gani kwako na kwa jamii zinazowazunguka endapo wataendelea kuishi kama walivyo sasa?
pengine hakuna madhara yeyote lakin kuish kwa upendo na amani bila visasi katika jamii ni jambo kubwa na lenye faida kubwa kuliko huo uhasama,

we unadhani ni jambo zuri ndugu yako anakufa kisha unakataa kwenda kumzika sababu ugomvi wenu wa miaka mingi
 
Haijalishi mmekosana nini ni wakati sasa kukaa mezani musameheane haya maisha tu afu ukizingatia mshakuwa watu wazima

Tumefundishwa kuwa binadamu hatokuja kupenda kamwe hadi pale atakapompenda anaemkuchukia.na mukumbuke kuwa msamaha ni kitu tunachokitoa kuwapa wengine ila kiukweli ni zawadi tunayojipa sisi wenyewe.

Na unaposamehe haimaanishi unalazimishwa kusahau kuna ubaya m
wingine hausahauliki lakini haupaswi kumchukia mtu bali unapaswa kuchukia matendo yake.

Wakati mwingine Mungu huzungumza nasi kwa matendo hivyo labda misiba hii imetokea labda iwe sababu ya Judith kumaliza ugomvi wako na clouds kwani tunafahamu ndio iliokulea na tulianza kukufamu kupitia tasnia ya sanaa ukiwa mtangazaji na mwanafamilia wa clouds siku zote tumetamani sana kuona ugomvi wenu unakwisha .

Kuishi kwa amani na mapenzi ni muhimu sana hasa kwa nyakati hizi, dunia leo imekuwa sio tena sehemu salama ya kujivunia kama ilivyokuwa zaman, vita mauaji na uhalifu leo imekuwa sehemu ya maisha yetu, na chanzo haswa ya yote hayo ni chuki visasi visivyo na suluhu. Na visasi mnapoviweka moyoni huwa kama mzigo ambao unaowatafuna taratibu sio yule tu unaemuwekea visasi bali na wewe mwenyewe, naamini chini ya jua hakuna kosa lisilosameheka( dunia tunapita na vyote tunavyoviona ni starehe ya muda mfupi)ndo mana tukaambiwa tuwe wepesi wa kusamehe sio mara saba tu bali saba mara sabini.
View attachment 1043836

Mwanafalsafa mchina Confucius aliwahi kusema:
“before you embark on a journey of revenge, dig two graves”

TUSIISHI KWA VISASI KILA MTU NI MWEMA KULIKO UNAMVYOFIKIRIA

Nawatakia siku njema wana jamii forum wenzangu wote nawapenda sana
Mungu ni mwepesi wa kusamehe,lakini mpaka mkosaji atakapotambua na kukubali alikosea,Je unamwambia Jide asamehee vipi hao waliomkosea walimfuata kumalizana naye?.

Alafu hao unaowaombea msamaha kwa Jide nilitegemea sasa hivi niskilize nyimbo za Jide,Rama dee ,Suma G nk ,baada ya kauli ile ya boasi wao kwenye msiba wa kibonde lakini mpaka sasa hivi sizisiki inawezekana nao wanapenda vita.
 
una hamu ya kukoga matusi sio?
nioeneshe hayo maneno ya miaka mingi, punguza pombe fala wew unalewa hadi mda wa kazi nyambafuu
Hahahaha unahubiri wenzio waishi Kwa upendo wakati wewe vimaneno tu vya jamaa vimekutoa povu balaa ,je ungedhulumiwa au kupelekwa mahakamani kama Jide siungeua mtu kabisa, jifunze kusamehe Kwanza kabla hujawahubiria wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo jamaa hapo juu alikuwa na hamu ya kutukanwa nimempa anachotaka ndo upendo wenyewe huo.

Kama na wewe una tusi lolote nisaidie kumtukana
 
Back
Top Bottom