Lady Jay Dee: Mimi ni Team Kiba

Haiwezekani na haitatokea kwa kudhani ipo siku moja Daimond atachukiwa na wote kama munavyodhani nyinyi,mumezomea mumeona bado wtz hawawaelewi. Na ndo kwanza munazidi kumpromoti
 

Warumi atakua anaumwa kama sio kufa hajaamini nyumba kukamilika ,hajakaa sawa kitu kimetoka na hadija kopa yaan mpaka namuhurumia daimond kamu over dose aiseeee pole warumi
 
Last edited by a moderator:
Warumi atakua anaumwa kama sio kufa hajaamini nyumba kukamilika ,hajakaa sawa kitu kimetoka na hadija kopa yaan mpaka namuhurumia daimond kamu over dose aiseeee pole warumi
We Dina wewe... umesahau mikwara ya warumi... ukimpa za chembe, anatishia atakusemea kwa Msukuma! Kufa hapana, sema inawezekana kama kulikuwa na show "Nyumbani Lounge" basi huenda alichelewa kuondoka akisaidia kurudisha magitaa na kukusanya kusanya vyombo vilivyotumika! Na jinsi alivyo na mahaba, si ajabu kasaidia hadi kuondoa ondoa chupa za maji!!
 
Last edited by a moderator:

Hhhhaaà yaaan humu atakuja na fujo leo za kujikakamua ,ye akaseme hata kwa raisi msukuma tu ,itakua kajifanyisha hayo makazi bure ili tumuone kwenye Diary,atajijuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Mara baada ya mashabiki kumjia juu Lady Jay Dee kuhusu kutangaza kuwa Team Ali Kiba, ameamua kuandika haya:

Tuache mawazo mgando 👈👈
Hivi mtu kuwa na mapenzi na mtu fulani ni kuchochea beef? ??
👎👎👎👎👎👎👎
Mbona mimi team Yanga na kuna wengine ni team Simba
Mwisho wa siku mechi zikiisha tunakaa tunatia story, tunakula 🍖🍗🍕🍝🍟🍤🍜na kunywa pamoja 🍻🍻🍻🍻 Kwani ukiwa team flani lazma uwe na beef na team nyingine? ??
I don't think so 😥😥😥😥😥
Hivyo basi msinilazimishie wala kunitengenezea beef na mtu ambae sina matatizo nae 🙉🙉🙉🙉🙉🙉
Pia msinichagulie nipende nini, niache nini
Kila mtu ana Uhuru wa kupenda chochote
Mwisho wa siku
Hizi ni burudani sio vita
Mimi ni Team Usher pia haimaanishi nina beef na Chris Brown 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Tuishie hapa
Mwenye kuelewa na aelewe
Cc Ladyjaydeeismyidol
 
Last edited by a moderator:

Unaposema diamond hana mpango wa kufanya collabo na jide kwa kuwa eti jide sio msanii wa kitaifa unakosea , jide aliwahi kukomba tuzo ya channel O , pia kuna kipindi aliwahi kualikwa kwenye birthday ya mandela uko south africa, na kama hujui tu jide ndio msanii mwenye tuzo nyingi kuliko msanii yeyote, alianza kuchukua tuzo Toka mwaka 2002 mpaka mwaka jana bado anaendelea kuchukua tuzo.
 

Aende zake kashazeeka siku hizi arudi shamba ajiandalie pensheni za uzeeni huko
 
Last edited by a moderator:
Warumi atakua anaumwa kama sio kufa hajaamini nyumba kukamilika ,hajakaa sawa kitu kimetoka na hadija kopa yaan mpaka namuhurumia daimond kamu over dose aiseeee pole warumi

Jide anaishi zake masaki sasa ivi na anaendesha range rover evoque, msanii gani bongo anayeishi MASAKI? , JIDE sio msanii cheap, anaishi maisha expensive mno

Unawajua marafiki wa lady jaydee ? Jide ana marifiki wabunge na watu wenye pesa zao kama CATHERINE MAGIGE, SHYROSE BHANJI, MWANVITA MAKAMBA na wengine, jide hanaga marafiki vinuka mkojo, inshort hakuna wa kumfananisha na JIDE east africa nzima
 
Last edited by a moderator:

Aaaaaah aaaaah wewe binamu wewe we nchokoze tu
 
Last edited by a moderator:
warumi katika ubora wake.Sio umbea tu hata rekodi ziko sawa upstairs.Nakupendaje sasa?
 
Last edited by a moderator:

umeongea vizuri sna sababu kama alikuwa anataka support alitakiwa kumshukuru kiba kwa moyo kama alivyofanya ila kama ulivyosema anajibusti sababu tunajua team ni diamond na kiba alafu anapoongezea timu wakati wasanii ambao hawajampa sapoti ni wengi inamaana anachochea bifu kwa faida zake binafsi
 
Last edited by a moderator:
Kwani hapa haongelei ushabiki? Tatizo mnapenda kupangia watu wampende nani.Hatuwezi kufanana.

Eti bwana.Wakati mwingine ni bora tukubali na kuziheshimu tofauti zetu na tukubali kua hatuwezi na kufanana.
 
warumi katika ubora wake.Sio umbea tu hata rekodi ziko sawa upstairs.Nakupendaje sasa?

Hapana chezeya, tatizo watu wanaongea hawajui historia ya jide, mi nawaangalia tu, jide jirani yake BAKHRESA na WAZUNGU kule masaki uzunguni, katulia zake hana shida na mtu, Inshort hawamuwezi, jide adumu miaka mia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…