chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Nikishaburudika
Jide=team kiba.
Kiba = domo (bifu )
Jide=domo (?!!!)
naunganisha dots tu
msichoelewa ni kimoja tu, jide anamaanisha wasanii wengi wanaogopa kumsapoti kwenye harakati zake za muziki wakihofia kuingia kwenye bifu na clouds media ila kiba hakuwaza hilo ndio maana anamshukuru
uwe inspired
Nikiwa inspired
uondokane na umaskin
Nikashaondokana nao?
Uolewe