Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Wanakuja, wapo huku ndani[emoji1787]Kwanini nadhani Mwana FA na Lady Jay Dee wanapendana kimapenzi ingawa cjawahi kusikia official in the past Km hawa watu wamewahi kudate? Nyie mnaonaje? Au ipo kichwani kwangu tu? Mke wa Mwana FA nisamehe.
Mapyaaaa hayaaaKwanini nadhani Mwana FA na Lady Jay Dee wanapendana kimapenzi ingawa cjawahi kusikia official in the past Km hawa watu wamewahi kudate? Nyie mnaonaje? Au ipo kichwani kwangu tu? Mke wa Mwana FA nisamehe.
Wanakuja, wapo huku ndani[emoji1787]
Mwana nani?Mwana Fatuma
Kuna jamaa anasema eti kupanda mchongoma sio kazi Ila kazi kushuka mchongomaMchawi sio lazima abebe tunguli
Kwanini nadhani Mwana FA na Lady Jay Dee wanapendana kimapenzi ingawa cjawahi kusikia official in the past Km hawa watu wamewahi kudate? Nyie mnaonaje? Au ipo kichwani kwangu tu? Mke wa Mwana FA nisamehe.