Lady jay dee sasa amsamehe rasmi ruge na wenzie

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Amenukuliwa na East Arfica redio akitoa kauli hii “Leo nimesamehe wote walionikosea ila haimaanishi nitapiga nao story tena..Hata YAHAYA pia nimemsamehe ila ngoma itaendelea kulia redioni”

Nini maoni yako juu ya Kauli Ladyjaydee?
 
wafanya biashara tu hao!! hamna hata aliegombana na mwenzie hapo
 
Show yake imepita hapakuwa na bifu lolote, watu wakataka kutoana macho huku wao wanaingiza pesa ndefu...
 
Radhia Sweety hujapigwa BAN tu?
 
Tushachoka Tunataka ishu zingine sasa. Kha!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wapi ameandika amemsahe huyo ulio mtaja?hivi hiyo statement unaona ni ya kusamehe hata kama ana maanisha huyo uliyo mtaja?
 
Ndio makubaliano Kesi ifutwe ama nini?,?!!!!!!
 
ngonja kesi iishe akiwashe tena unadhan biff ndio limeisha ndyoooo kwanza bado bichi ......km una akil soma statement yke ya mwisho.........japo haina maana ntapiga nao story tena.......
 
Maelezo yake yana ukakasi mwingi...Bible takatifu inatuambia tusamehe na kusahau...Jide ni opportunisty na very professional in seeking public symphasy..!na shida yakenyingine kubwa ni kuwa anafikiri anajua kila kitu....au pengine ni ule urefu wake kwenda Chini maana watu wa aina yake wana makeke kweli kweeli
 
Jyde jana kasema ni wengi mmeelewa tofauti statement yake.
 
Swali ni, Je hao aliowasamehe nao wamemsamehe?
 
Amenukuliwa na East Arfica redio akitoa kauli hii “Leo nimesamehe wote walionikosea ila haimaanishi nitapiga nao story tena..Hata YAHAYA pia nimemsamehe ila ngoma itaendelea kulia redioni”

Nini maoni yako juu ya Kauli Ladyjaydee?

Jaydee kama umeamua kusamehe, samehe kabisa kipenzi sio kusamehe nusunusu.
 
Amenukuliwa na East Arfica redio akitoa kauli hii “Leo nimesamehe wote walionikosea ila haimaanishi nitapiga nao story tena..Hata YAHAYA pia nimemsamehe ila ngoma itaendelea kulia redioni”

Nini maoni yako juu ya Kauli Ladyjaydee?

Yeye ndie wa kusamehewa coz alikurupuka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…